Kiko wapi? Milioni tano za goli la mama, simsikii Msigwa wala Mchengerwa,

Sasa mkuu mbona inaonekana unateseka sana???
Kwan mama alivotoa izo hela za goli la Mama alimaanisha timu zitashinda game zote?
Mkuu jikite kutafuta hela acha makasiriko aisee..!
 
Kwani BOT walishapata mteja?
Waweke NesT sisi Watanzania tuombe kununua hiyo dhahabu kwa tender itakayokuwa fair kwa wote.
Kama hawataki wawaite brokers waweke mnada watu tushindane kwa haki kuinunua hiyo dhahabu
 
Mijitu imeishaanza kuuza hata akiba ya dhahabu ya taifa, itapata wapi tena hela ya kuchezea?....

Wafadhili wanaochangia pesa ndefu unawaambia "Who are you" kama mlevi wa ulanzi ... Unategemea nini zaidi ya kidole cha kati? 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…