BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,188 Reaction score 6,633 May 15, 2018 #1 wadau baada ya lile onyo la kipigo cha mbwa koko, leo lingine limetolewa onyo kwa wale wanaume ambao hupata ugonjwa wa kikohozi pale wanapoona mwanamke aliyejaaliwa chura akikatiza mbele yao. Je tutasalimika kweli..ama kweli yajayo.... .
wadau baada ya lile onyo la kipigo cha mbwa koko, leo lingine limetolewa onyo kwa wale wanaume ambao hupata ugonjwa wa kikohozi pale wanapoona mwanamke aliyejaaliwa chura akikatiza mbele yao. Je tutasalimika kweli..ama kweli yajayo.... .
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,382 Reaction score 29,639 May 15, 2018 #2 Pambana na tamaa zako
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 May 15, 2018 #3 Mmh Utashitakiwa kwa kosa la kuumwa kikohozi kikavu mbele ya Mwanamke. Hahahaha
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 142,674 Reaction score 743,909 May 16, 2018 #4 Koh koh koh, ni shambulizi la aibu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kaaaazi kweli kweli