Kikohozi

Kikohozi

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
wadau baada ya lile onyo la kipigo cha mbwa koko, leo lingine limetolewa onyo
kwa wale wanaume ambao hupata ugonjwa wa kikohozi pale wanapoona mwanamke aliyejaaliwa chura akikatiza mbele yao.
Je tutasalimika kweli..ama kweli yajayo....
.
 
Mmh Utashitakiwa kwa kosa la kuumwa kikohozi kikavu mbele ya Mwanamke.

Hahahaha
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Koh koh koh, ni shambulizi la aibu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kaaaazi kweli kweli
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom