Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Huu uonevu kwa watumishi wa ngazi za chini unakera mpaka basi.Atakuja mtu atarekebisha haya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uonevu kwa watumishi wa ngazi za chini unakera mpaka basi.Atakuja mtu atarekebisha haya...
Ndugu zangu nimekutana na wazee wenyeheshima zao na wamo ndani ya CCM wakilaumu mpango mzima wa serikali wakutaka kupora hela zao za kustaafu...
CCM hoyee!!Wapo wanatengeneza kivuko inchi ya hovyo sana hii
USSR
Kaeleweka wewe ndio hujaelewa usilazimishe wingi ilihali wewe pekee ndio hujaelewambona hueleweki.
unataka kusema nini tukusaidie kukupa ufafanuzi
Taratibu kitaeleweka [emoji23][emoji23]Hutaki tena meli zikarabatiwe kama ile ya MZA? Hahaha!
Acha unafiki we Kila siku uko humu unaitetea ccm sasahivi unapanua Domo lako Kama UK...eti inasikitishaInasikitisha
Smal fish are eaten by large fishAcha unafiki we Kila siku uko humu unaitetea ccm sasahivi unapanua Domo lako Kama UK...eti inasikitisha
Acha unafiki we Kila siku uko humu unaitetea ccm sasahivi unapanua Domo lako Kama UK...eti inasikitisha. Nyankundo
CCM OYEEWapo wanatengeneza kivuko inchi ya hovyo sana hii
USSR
WANALIA NINI? CCM wakioipigia Kura na Kumsifia MAGUFULI hayo ndio MATUNDA YAKE Nampongeza MAGUFULI kwa KIKOKOTOO KIPYA na CCM PIANdugu zangu nimekutana na wazee wenyeheshima zao na wamo ndani ya CCM wakilaumu mpango mzima wa serikali wakutaka kupora hela zao za kustaafu...
Wapo wanatengeneza kivuko inchi ya hovyo sana hii
USSR
maCCM ni zaidi ya qumerNdugu zangu nimekutana na wazee wenye heshima zao na wamo ndani ya CCM wakilaumu mpango mzima wa Serikali wakutaka kupora hela zao za kustaafu eti kwa kigezo cha kuwapa kidogo kidogo kustaafu kitendo hicho wanakilaani kwa maneno ya chini kwa chini bila kujitokeza hadharani.
Nimewambia wapeleke malalamiko yao kwenye chama kwa katibu mkuu wa chama mheshimiwa Chongolo maana wanadai kwa upande wa Serikali wanaona hayupo mtu yeyote kuanzia waziri mwenye dhamana hadi katibu mkuu utumishi hawezi kuwasemehe.
Cha ajabu bado wanasema viongozi wao wanaupiga mwingi katika kuwaletea maendeleo wananchi, kahawa wamekunywa imeisha wananiambia kijana wetu tuachie hata hela ya chupa moja mimi sikuwa na kinyongo nao nimewapa tsh 1000/= wachukue chupa moja ya kahawa kwa muuzaji nikaondoka zangu maana kuna mambo yalitaka kunitokea yakutaka kuwatukana.
Ndugu zangu siyo raia wakawaida ambao hawana uelewa wa nchi inavyoendeshwa tu hata wafanyakazi wa serikali miongoni mwao hakuna walijualo, nilijaribu kugusia katiba mpya walinipuuza na kuanza kuniambia wewe ni mpinzani, nikawajibu katiba mpya haina upinzani bali ni yetu sote wananchi lakini hawakunielewa.