Kikokotoo: Wafanyakazi ambao wamebakiza muda mfupi kustaafu ni kilio kila kona ya nchi

Ndugu zangu nimekutana na wazee wenyeheshima zao na wamo ndani ya CCM wakilaumu mpango mzima wa serikali wakutaka kupora hela zao za kustaafu...

Kutowatukana ndo umeharibu
 
Mfanyakazi maana yake mtumwa, sasa toka lini mtumwa akathaminiwa, wenyewe ndio wanaona wanamamlaka ya kufanya kazi miaka 5 na kujilipia pesa za kutosha
 
Ndugu zangu nimekutana na wazee wenyeheshima zao na wamo ndani ya CCM wakilaumu mpango mzima wa serikali wakutaka kupora hela zao za kustaafu...
WANALIA NINI? CCM wakioipigia Kura na Kumsifia MAGUFULI hayo ndio MATUNDA YAKE Nampongeza MAGUFULI kwa KIKOKOTOO KIPYA na CCM PIA
 
maCCM ni zaidi ya qumer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…