Ukisikia marehemu alikufa na mavi ya week nzima ndio kwa style hii ulioandika hahahJamani mi nahisi tufanye hivi tu..
Asubuhi ukiaamka piga kombe moja la muarobaini pekee Kisha unatulia tena unaandaa maji Moto unachanganya na limao,tangawizi na asali unapiga jikombe lako hilo lamoto😜
Ukishamaliza unatafuta supu moja ya maana ama ya nyama au ya samaki usisahau ka limao na kapilipili😜
Then unapiga zako matunda machungwa nanasi,ndizi n.k bila kusahau mzinga mambo yetu Yale ya kulelengeta! Unatafuta konyagi unatulia unaikunja ila sio kulewa ileile itakuwa vyema ukipata lengelenge lake tu😜 hao wahuni covid wamechachamaa ukilegea wanakulegeza milele😂
Usisahau na mazoezi na jioni unapiga tena jikombe la muarobaini na huo mchanganyiko mwengine unatia jikombe!
Huyu muhuni hana dawa so itabidi tudilinae ktk namna isiyoeleweka maana na yeye haeleweki😂😜
Msichukulie serious ila ukimind fanya😜
😂😂Ukisikia marehemu alikufa na mavi ya week nzima ndio kwa style hii ulioandika hahah
😂😂
Mkuu hakuna sumu hapo hivyo vyote vinatinga tumboni na hakuna shida..
Nyie mmezoea kunywa mijuisi ya viwandani wakati kuna juisi naturali za miarobaini😂 ukinywa unakunja sura mpk izraili mtoa roho akija akikukuta anahairisha anajua kabisa huyu atajifia mwenyewe ngoja nimuache😂 kumbe ndo unajiongezea misiku😂
Hadi wasomi wenye ma degree 4 na maprofesa wa chuo huko
mkuu hapo ulipa chukua jibapa nakuja kulipa..Jamani mi nahisi tufanye hivi tu..
Asubuhi ukiaamka piga kombe moja la muarobaini pekee Kisha unatulia tena unaandaa maji Moto unachanganya na limao,tangawizi na asali unapiga jikombe lako hilo lamoto[emoji12]
Ukishamaliza unatafuta supu moja ya maana ama ya nyama au ya samaki usisahau ka limao na kapilipili[emoji12]
Then unapiga zako matunda machungwa nanasi,ndizi n.k bila kusahau mzinga mambo yetu Yale ya kulelengeta! Unatafuta konyagi unatulia unaikunja ila sio kulewa ileile itakuwa vyema ukipata lengelenge lake tu[emoji12] hao wahuni covid wamechachamaa ukilegea wanakulegeza milele[emoji23]
Usisahau na mazoezi na jioni unapiga tena jikombe la muarobaini na huo mchanganyiko mwengine unatia jikombe!
Huyu muhuni hana dawa so itabidi tudilinae ktk namna isiyoeleweka maana na yeye haeleweki[emoji23][emoji12]
Msichukulie serious ila ukimind fanya[emoji12]
Nilikunywa muarobaini na ndio mgumu Bora huo mchanganyiko mwengine usifikiri sijawahi kuinywa hata Kama nimeandika kiutani ila tayari nishainywa mkuu..Aliweza kuunywa huo mchanganyo anazingua huyo jamaa anaonekana mayai kabisa
Muarobaini ukachanganya na asali, malimao na tangawizi, utumbo haujatoboka kweli hahahaNilikunywa muarobaini na ndio mgumu Bora huo mchanganyiko mwengine usifikiri sijawahi kuinywa hata Kama nimeandika kiutani ila tayari nishainywa mkuu..
Unaweza kukaa nyumbani alafu mwenye Corona kashika nyanya sokoni ile umekata kachumbari unajilamba kumbe unalamba Covid 19 version 2020
Ila babu kalala huko msituni anasubiri akioteshwa ndoto tu basi Corona aka Covid 19 bye bye. Acheni kumsumbua kwenye simu babu yetu anakuwa anashindwa kulala usingizi wa kutosha...
View attachment 1420191
Huelewi ni muarobaini unakuwa pekee na huo mchanganyiko mwengine unakuwa pekeeMuarobaini ukachanganya na asali, malimao na tangawizi, utumbo haujatoboka kweli hahaha