Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Unaweza kukaa nyumbani alafu mwenye Corona kashika nyanya sokoni ile umekata kachumbari unajilamba kumbe unalamba Covid 19 version 2020
Ila babu kalala huko msituni anasubiri akioteshwa ndoto tu basi Corona aka Covid 19 bye bye. Acheni kumsumbua kwenye simu babu yetu anakuwa anashindwa kulala usingizi wa kutosha...