KIKOMBE CHA GHADHABU walicho kinywea Juventus robo finale ndicho watakinywea Rael madrid tarehe 26

911sep11

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
2,461
Reaction score
4,272
Wataalamu wa michezo saluti kwenu.

Kama mtakumbuka hatua ya robo fainali mambo yalikua hivi

Swala lililo sababisha Zidane na timu yake wasonge katika hatua inayo fuata.

Akili yangu inaniambia kesho mambo yatageuka na kuwa ndivyo sivyo na kinyume na matarajio ya eengi ambapo kikombe cha ghadhabu walichokinywea juve ndicho hicho hicho kitatumika kumnywesha mvinyo ya ghadhabu real madrid na kujikuta akiishia kuliangalia kombe likitwaliwa na LIVERPOOL.

Mimi si shabiki wa liva wala madrid na wengi mtashangaa kwanini naishabikia man u huku siishabikii madrid.
kupanga ni kuchagua kila la kheri wazee wa YNWA
 
Uhuu ni umbeya kama umbeya mwingine wa vijiwe vya kahawa
Mabishano na utabili wowote ambao huwa tunafanya kabla ya mechi kuchezwa na matokeo kujulikana huwa ni umbeya. Kwa hivyo hata anayesema ama kutabili Madrid atashinda fainali nao ni umbeya wa kijiweni kama alivyo mbeya alyeitabilia liver ushindi.
 
naaaaam!
 
Nina chuki sana na real madrid natamani wapigwe kipigo cha mbwa koko,lakini ndio hvyo sasa liva haaminiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…