911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,461
- 4,272
Wataalamu wa michezo saluti kwenu.
Kama mtakumbuka hatua ya robo fainali mambo yalikua hivi
Swala lililo sababisha Zidane na timu yake wasonge katika hatua inayo fuata.
Akili yangu inaniambia kesho mambo yatageuka na kuwa ndivyo sivyo na kinyume na matarajio ya eengi ambapo kikombe cha ghadhabu walichokinywea juve ndicho hicho hicho kitatumika kumnywesha mvinyo ya ghadhabu real madrid na kujikuta akiishia kuliangalia kombe likitwaliwa na LIVERPOOL.
Mimi si shabiki wa liva wala madrid na wengi mtashangaa kwanini naishabikia man u huku siishabikii madrid.
kupanga ni kuchagua kila la kheri wazee wa YNWA