Sababu mirija yote inayoelekea kwenye vikombe vingine imezibwa katika hatua fulani yaani chai haitaweza kupita.
Hivyo kikombe kitakachopata chai mapema zaidi ni namba 5 pekee.
NB:Swali hili linatukumbusha kuwa makini katika kila hatua ya maisha yetu,hasa katika kufanya maamuzi,kabla ya kujibu chochote na hata humu JF ,tujitajihidi kusoma alichopost mtu ili unapojibu au kuchangia usitoke nje ya kile kilichokusudiwa.