Kikombe gani kitajaa chai mapema zaidi?

Kikombe gani kitajaa chai mapema zaidi?

9 ndio kitajaa zaidi baada ya hapo namba 5 ndio kitafuata hivyo vingine njia zimefungwa na kama zingekua wazi namba 4 ndio kingejaa haraka zaidi
 
Wakuu,wote waliojibu kikombe namba tano ndio waliopata swali hili.
Hongereni sana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sababu mirija yote inayoelekea kwenye vikombe vingine imezibwa katika hatua fulani yaani chai haitaweza kupita.

Hivyo kikombe kitakachopata chai mapema zaidi ni namba 5 pekee.

NB:Swali hili linatukumbusha kuwa makini katika kila hatua ya maisha yetu,hasa katika kufanya maamuzi,kabla ya kujibu chochote na hata humu JF ,tujitajihidi kusoma alichopost mtu ili unapojibu au kuchangia usitoke nje ya kile kilichokusudiwa.

Ahsante.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom