Yaaani inaboaa bas tuu
Shem Chocs ! Inauma - inauma
320,000 x 10 = 3,200,000 .
Majukumu aliyonayo fees yake ya shule , na takataka zake zote in general vinatoka hapo, anamlipa mshahara muuzaji, amenunua baiskeli ya kuzungushia ana madeli ma 3 , analipa umeme wa nyumba nzima , aidha sometimes nakuta amenisaidia majukumu madogomadogo yasio yake mf. Mara kadhaa nakuta amekimu demand za wadogo zake wa primary .
Leo wamemwaga Barafu pakti 300! Zimechacha !
Kisa Prof. Sospeter !
Ni wapi ulipo shemeji Ladymasa ?
Itakua ni nchi ya ahadi ya kula Asali na Maziwa !
Nataka nifanye uchunguzi maana nahisi huu mgao unahusu majimbo ya makamanda tu (cdm), hivi kweli dodoma, moro, pwani, tanga kuna mgao pia?
hahahaaaaa!!!shemeji pole
weka japo kajisola tu
prof.sospeter hataki mchezo!!
Hivi Judgement huyu Muhongo aka Prof Muongo si alisema watz wavivu wa kufikiri? ujue nimeingia jf baada ya kazi zangu kukusimama, nina kijiwe cha kuziba pancha, kujaza upepo mataili na welding! kweli inakera!
Mimi namwamini Waziri "Mkweli", umeme upo, bali Tanesco wanafanya hujuma ili kumhujumu waziri!, watakiona "cha mtema kuni!".Nadhani kuna mpango mkakati wa kisiasa ngoja Pasco anipe mwongozo