Kikomo cha mtu kuwa yatima ni miaka mingapi?

YATIMA
ni mtoto aliepoteza wazaz wote wawili au kutelekezwa.
ataitwa hvohvo hadi kuzikwa kwake.

na mtu akipoteza wazazi, wake akiwa na umri mkubwa, haitwi vile.

jina YATIMA mim nadhan nila huruma au kumtambulisha mtoto kuwa hajiwez.
Sawa kwahiyo ataitwa na nani?
 
Ungetueleza maana ya neno yatima kwanza ili tulijue umri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…