3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Umekaa kisaba saba kama horoyo fc ukiukatikia ule mwiko wenu huku unaandika hizo shuduNakumbusha tu kuwa kipindi hiki ndio hatua ya mwisho ya mgonjwa kukata roho. Hata misimu ya nyuma ndio furaha iliyokuwa inasherehekewa na mashabiki ( man of matches na team of the week) halafu ikifika robo ndio kilele chao cha mafanikio. Kombe lao ni la robo, man of the matches na team of week. Wakati wengine wanasherehekea kombe. Ushamba ni mzigo