technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
HahahaMe naona yule jamaa hafai kuchezea timu ndogo kama Uto.
Viwango vyao havimkuti mayeleOunahi vipi?
Boufal vipi?
Saiss vipi?
Vipi yule wa goli bora hawakumuona?Kikosi bora cha wachezaji wote duniani raia wa africa Mayele ndaniView attachment 2459958
Ounahi baller sanaaa aisee.Ntafurahi sana kama Arsenal watamsajili.Ounahi vipi?
Boufal vipi?
Saiss vipi?
Kikosi bora cha wachezaji wote duniani raia wa africa Mayele ndaniView attachment 2459958
Punguza wivuUmeokotea jalala gani huu uchafu
WivuUmeokotea jalala gani huu uchafu
Tayari Mkuu wa Makolokolo aitwaye OKWI BOBAN SUNZU aliyemfananishaga Mayele na Kibu Denis ameshapovuka kama vile kapigwa kwenye mshono [emoji23]Mkuu utapigwa mawe na makolo subiri yaje
Ounahi baller sanaaa aisee.Ntafurahi sana kama Arsenal watamsajili.
Mbona kama umepaniki? Relax...!!!Alewaita nyinyi kuwa ni "MAUMBWA" BWANA YESU AMBARIKI SANA.