Kikosi bora cha africa 2022 Mayele ndani

Kikosi bora cha africa 2022 Mayele ndani

Ile connection yenu wana utopolo ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli nyie ni mazamwamwa
 
Ile connection yenu wana utopolo ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli nyie ni mazamwamwa

Sema haki ya mama???!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sjaiona hiyo
 
Mkiambiwa simba ni ya 3 kwa ubora Africa mnapinga ila mkiambiwa mayele yupo kwenye kikosi bora mnakubali bila kuhoji kweli yanga wenye akili ni wawili.
 
Tayari Mkuu wa Makolokolo aitwaye OKWI BOBAN SUNZU aliyemfananishaga Mayele na Kibu Denis ameshapovuka kama vile kapigwa kwenye mshono [emoji23]
Ngoja nikakoment kwenye ule Uzi wa kindwazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sema haki ya mama???!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sjaiona hiyo
Haki ya mama tena,wanafurahia kurudi kwa feisal nimecheka,yaani manara hakukosea
 
Haki ya mama tena,wanafurahia kurudi kwa feisal nimecheka,yaani manara hakukosea

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh asa mbona mpemba bado hajarudi,wamejichosha tu hawa vinyesi fc
 
Back
Top Bottom