Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Viwango vyao havimkuti mayele
EditingKikosi bora cha wachezaji wote duniani raia wa africa Mayele ndaniView attachment 2459958
Ile connection yenu wana utopolo ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli nyie ni mazamwamwa
Nimeiona nimeionaIle connection yenu wana utopolo ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli nyie ni mazamwamwa
Ngoja nikakoment kwenye ule Uzi wa kindwazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tayari Mkuu wa Makolokolo aitwaye OKWI BOBAN SUNZU aliyemfananishaga Mayele na Kibu Denis ameshapovuka kama vile kapigwa kwenye mshono [emoji23]
Haki ya mama tena,wanafurahia kurudi kwa feisal nimecheka,yaani manara hakukoseaSema haki ya mama???!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sjaiona hiyo
Haki ya mama tena,wanafurahia kurudi kwa feisal nimecheka,yaani manara hakukosea