Kikosi Bora cha Kombe la Dunia

Kikosi Bora cha Kombe la Dunia

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Duh! Messi anapangwa namba 9 toka lini messi akacheza namba 9 hiki kikosi hapana.

FB_IMG_1671468382034.jpg
 
Woyoooo

Man U tumepitisha wachezaji watatu, zaidi ya timu zote za Uingereza.

Ila hizi Rating za hovyo. Mbappe nilitegemea awe na Rating za juu kuliko wote.

Wengine watadandia, mbona hakuchukua mchezaji bora? It is obvious that the best player should be within the winning team.
 
Wachezaji ambao hawajacheza nusu fainali watolewe hapo.
 
Woyoooo

Man U tumepitisha wachezaji watatu, zaidi ya timu zote za Uingereza.

Ila hizi Rating za hovyo. Mbappe nilitegemea awe na Rating za juu kuliko wote.

Wengine watadandia, mbona hakuchukua mchezaji bora? It is obvious that the best player should be within the winning team.
Messi in 2014 was the best player of the tournament and Germany won the world cup
 
na 2010, Diego Forlan alikuwa king of Jabulani(player of the tounament), Spain won the Title
 
kuna watu wanamawazo ya ovyo kabisa, Mchezaji wa mwisho kushinda tunzo ya uchezaji bora wa world cup huku timu yake ikiwa Bingwa alikua ni Romario 1994. world cup zilizopita hapo kati mchezaji bora hakutoka timu bingwa.
Machawa wa Messi akili wamezieka pembeni wao kazi ni kupambia tu.
 
Back
Top Bottom