Kikosi bora cha mwaka JF

Kikosi bora cha mwaka JF

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Zikiwa zimebaki siku chache mwaka uishe.
Ningeomba tuweke kikosi bora cha jf kwa mtindo wa wachezaji soka...

Kipa.. Nyani Ngabu
Beki 2: pancho boy
Beki 3 Baba Swalehe
Beki 4 Bazazi
Beki5: rikiboy na sub yake mkwepu jr


namba 6 Da'Vinci
namba 7 CONTROLA
namba 8: Bujibuji
Namba9: Zero IQ
Namba 10: troublemaker
Namba 11 MLEVi Mmoja
Sub Hazard CFC
Nokia83
funzadume
Bitoz
Sesten Zakazaka
@icebreaker
James Comey

Benchi la ufundi..
Kocha mkuu _ Asprin
Kocha msaidizi_ Kiranga
kocha wa viungo Mwl.RCT
Kocha wa viungo 2. Don Clericuzio

Wasemaji wa team..
Matola
GuDume
Numbisa
Shadeeya

Kamati ya ufundi.. (ulozi)
Mshana Jr
Rakims

Wafadhili wa team.
Kiduku Lilo
Mikwara Ya Andunje
Tajiri Kichwa ,Tajiri mpole

Kamati ya hamasa..
Shunie
Miss Natafuta
manengelo
Depal
Sakayo

Mabaunsa wa team..
Castr
Pablo Blanco
Jon Stephano

Dokta wa team
Mwifwa

mweka hazina wa team.
Pascal Mayalla
Daby
Watu8

Mpishi wa team..
Sky Eclat
Zesh
Mzigua90
Hawachi

Kitengo cha figisufisu bila ulozi.
MO11
joanah
Billie
Kichwa Kichafu
Viatu vya Samaki.
Ushimen

Wazee wabishi wa team (wapigaji
FaizaFoxy

mlinzi wa getini makao Makuu.
MKWEPA KODI
MAGALLAH R[/USER

update :
Baada ya mshahara kutolewa kutoka bodi ya wadhamini wetu inayoongozwa na nduguy [USER=27118]Kiduku
uongozi umeahidi ikiwa kesho saa kumi team itashinda mechi.. Basi tuu tutapelekwa Ibiza tukale bata..
Hayo yameahidiwa na ndugu Kiduku Lilo mwenyewe..

Kikosi kitakachoanza siku ya kesho.. Chini yake manager machachari Asprin .akiwa na msaidizi Kiranga ikumbukwe kiranga kabla ya kuja kwetu alikuwa msaidzi huko Manchester City...
1: Nyani Ngabu
2: pancho boy
3: Baba Swalehe
4: Bazazi(captain)
5: rikiboy kwani mkwepu jr ameenda kuoa.
6: Da'Vinci japo watu wanasema angeanza James Comey .
7: CONTROLA
8: Bujibuji
9: Sesten Zakazaka
10: troublemaker
11: MLEVi Mmoja ..
Sub Hazard CFC ,Zero IQ ,funzadume ,James Comey ,@icebreaker, Bitoz .. Bradha

Update wakati hayo yakiendelea team yetu amejitokeza mdhamini mwingine na ameahidi kutoa bili 1 kama kianzio iwapo team itashinda kesho.. Atasaini mkataba wa moja kwa moja nasi.. Si mwingine ni bia ya CHIBUKU..!pongezi kwake..
 
Zikiwa zimebaki siku chache mwaka uishe.
Ningeomba tuweke kikosi bora cha jf kwa mtindo wa wachezaji soka...

Kipa.. Asprin
Beki 2: pancho boy
Beki 3@baba swalehe.
Beki 4@bazazi
Beki 5:king ngwaba.

Kuanzia namba sita mpaka kumi na moja. Ongezea wewe ili tupate team Kali ya jf..

Nsije kuonekana napendelea..

Nb mda nawahi isidingo..
Aisee... yani mi kocha niwe golikipa tena?
 
Back
Top Bottom