Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #21
Subiri aje huyo mzee9.Faiza fox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri aje huyo mzee9.Faiza fox
Zikiwa zimebaki siku chache mwaka uishe.
Ningeomba tuweke kikosi bora cha jf kwa mtindo wa wachezaji soka...
Kipa.. Nyani Ngabu
Beki 2: pancho boy
Beki 3@Baba Swalehe
Beki 4@Bazazi
Beki 5@king Ngwaba.
namba 6@Da Vinci
namba 7@Controla
namba 8@Bujibuji
Namba9: Zero IQ
Namba 10@Troublemaker
Namba 11@Mlevi mmoja
unastahili mkuu michango yako sisi tunaijua.pancho boy
Kweli mimi Bazazi naweza kuwemo ktk 11 Bora (1st Eleven) ya JF. Siwezi kukubishia maana sijui umetumia vigezo gani, lakini siamini kama nastahili heshima hiyo!
Pamoja na maoni yangu, hongera!
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu siku nyingi sana haonekani ngoja tumjazeImekuawaje benchi la ufundi amekosekana MziziMkavu
HahahaFaiza labda kucheza mdaku
Rik boy umemsahau kwenye hiyo list.Zikiwa zimebaki siku chache mwaka uishe.
Ningeomba tuweke kikosi bora cha jf kwa mtindo wa wachezaji soka...
Kipa.. Nyani Ngabu
Beki 2: pancho boy
Beki 3 Baba Swalehe
Beki 4 Bazazi
Beki 5 King Ngwaba
namba 6 Da vincci
namba 7 CONTROLA
namba 8: Bujibuji
Namba9: Zero IQ[/USER
Namba 10:[USER=294185]troublemaker(
Namba 11 MLEVi Mmoja
Sub Hazard CFC
Nokia83
funzadume
Bitoz
Sesten Zakazaka
Benchi la ufundi..
Kocha mkuu _ Asprin
Kocha msaidizi_ Kiranga
kocha wa viungo Mwl.RCT
Kocha wa viungo 2. Don Clericuzio
Wasemaji wa team..
Matola
GuDume
Numbisa
Shadeeya
Kamati ya ufundi.. (ulozi)
Mshana Jr
Rakims
Wafadhili wa team.
Kiduku Lilo
Mikwara Ya Andunje
Kamati ya hamasa..
Shunie
Miss Natafuta
manengelo
Mishil
Depal
Sakayo
Mabaunsa wa team..
Castr
Pablo Blanco
Jon Stephano
Dokta wa team
Mwifwa
mweka hazina wa team.
Pascal Mayalla
Kitengo cha figisufisu bila ulozi.
MO11
joanah
Billie
Kichwa Kichafu
Viatu vya Samaki.
Wazee wabishi wa team (wapigaji)
FaizaFoxy
Scars
Unaruhusiwa Ongezea wewe ili tupate team Kali ya jf.. Ya mwaka
Nsije kuonekana napendelea..
Asante nilikuwa nimemsahau. Si kala banRik boy umemsahau kwenye hiyo list.
Yeye anatoa uzi bora wa mwaka kule MMU.
Sent using Jamii Forums mobile app
kaamshe popo ndo itakuwa kazi yako msemaji 😂😂Aiseee
Naelewa ndo maana kocha kasema utulie sabu..
Fanya uwastue wahusika kaka
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Aisee... yani mi kocha niwe golikipa tena?
naelewa mzee dinho hahaNamba 10 umepatia kabisa kuniweka hiyo namba😀😀
Hahahaha braza em tupe mstari kidogoMkwepu jr nadhani awe ndo mmiliki wa hiyo timu