Kikosi bora cha mwaka JF

Pia nae ndugu Mshana Jr kutoka kamati ya ufundi.
Anatafutwa na uongozi kwani team yetu ya jf tuna mechi next day..

Inadaiwa kazamia kilingeni toka juzi hajatoka. Atakaemuona atoe taarifa plz
 
Nae ndugu Bujibuji amegoma kufanya mazoezi chanzo kikidaiwa ni kuwa hajapata bia zake mbili safari larger.
Kwani pesa walizotoa matajiri Wetu kina Kiduku Lilo bado waweka hazina kina Daby hawajazifikisha kwa wachezaji..
Kiungo mshambuliaji huyo wa kutegemewa kwa sasa yupo kambini akisubili bia zake
 


Sijaelewa kikosi nilichopo

Figisufigisu ndio nini?
 
Sijaona sababu za kutoitwa kikosini sasa ntacheza na mademu zenu watakaokuja uwanjani kuwatizama mkicheza

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Money in the grave
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…