Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
Yoooo! Rock you're back kwa fasi ya dwasi.
Moja sawa mbili tupia Kasongo Athumani Mgaya
Tatu Godwin Aswile(Scania) nne muweke Deo George Magere Masatu.
Yoooo! Rock you're back kwa fasi ya dwasi.
Moja sawa mbili tupia Kasongo Athumani Mgaya
Tatu Godwin Aswile(Scania) nne muweke Deo George Magere Masatu.
Hamna shukrani yaani wote hakuna anayemweka jamaa wa Hirizi ama Okwi.Mikia acheni hizo
Pawasa alikuwa moto. Hivi yupo wapi siku hizi ?Sub;
Boniface Joseph Pawasa, Ulimboka Mwangingwe, Athuman Machupa, Selemani Matola kudadadeki
Emmanuel Gabriel umemkosea heshima1. MOHAMED MWAMEJA
2. SAID SUED
3. ALPHONCE MODEST
4. VICTOR COSTA NAMPOKA "NYUMBA"
5. GEORGE MAGERE MASATU
6. SELEMAN MATOLA
7. STEPHEN MAPUNDA "GARINCHA"
8. HUSSEIN MARSHA
9. ATHUMANI MACHUPPA
10. MADARAKA SELEMAN
11. NTEZE JOHN "LUNGU'
Thanks! Nimekurupuka unajua haya mambo ya kuiba muda wa mwajiri kwa ajili ya Addiction ya JF
Mimi nazani kiuhalisia ilitakiwa uanZe na kaseja na sio huyo mwameja kwa sababu kaseja alikuwa na performance mzuri uwanjani na mafanikio ya kufika mbali kwenye vikombe vingi
Pili kaseja alvyofika simba mwameja alitafta kazi nyingine
Alafu victor Coster alicheza kidogo sana unaweza mtaja kama kipaji kikibwa ila sio gwiji ,Gwiji wa hiyo position at given time ni PAWASA
Hivi said Swed si central defender alaf mdogo ake Salam ndio fullback?
Vipi kuhusu E,Gabriel
Changu ni hiki
Kaseja
Pawasa
Alphonce Modest
Said Swed
Gorge Masatu
Matola
Ulimboka
Bobani
Gabriel
Mogela
Nico nyagawa
Sub,Mwameja,Maftah ,Kiemba,Henry Joseph, Abdalah Juma
Formation 3--1-2--2--2
Uwezo waa Mwameja ni mkubwa sana kulinganisha na kaseja. Mwameja alikosa bahati tu ya kucheza ulaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza ushabiki jana. Humjui mwameja.Mimi nazani kiuhalisia ilitakiwa uanZe na kaseja na sio huyo mwameja kwa sababu kaseja alikuwa na performance mzuri uwanjani na mafanikio ya kufika mbali kwenye vikombe vingi