mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
NimeelewaSoma title kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimeelewaSoma title kwanza
1. MOHAMED MWAMEJA
2. SAID SUED
3. ALPHONCE MODEST
4. VICTOR COSTA NAMPOKA "NYUMBA"
5. GEORGE MAGERE MASATU
6. SELEMAN MATOLA
7. STEPHEN MAPUNDA "GARINCHA"
8. HUSSEIN MARSHA
9. ATHUMANI MACHUPPA
10. MADARAKA SELEMAN
11. NTEZE JOHN "LUNGU'
Ana shughuli gani huko huyu Mwamba?Kwa kumtaja tu Michael paul,nimekukubali unaujua mpira,jamaa now yupo simiyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Malota Soma na Madaraka Seleman,mmojawapo hapo kipa bora kabisa aliyekuwa anasifiwa kwa Afrika Kanka Vemba anafahamu shughuli yake.1993 mbele ya akina Abilio,Yanda,Libengue,Kanka Vemba,Kuleka,Lolo hawakuamini kilichotokea Hapo Dar. Ndani ya Mita 30 Kanka anavishwa kanzu na Malota kuandika bao la tatu kama sijakosea.Sijui ilikuwaje S.abdijan kuifunga Simba Dar wakati Atletico Aviacao ndo iliisumbua Sana Simba.Naomba wadau mnitafutie nafasi ya Malota Soma Ball Jagger kwenye vikosi vyenu mlivyopendekeza . Hiyo mashine ilikuwa fundi haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimti yuko huku ISELA MWANZANi kweli Emmanuel Gabriel "batistuta" alilkua mchezaji mzuri lakini unapokua umepewa option mbili mkononi za namba 9 na 10 na huku una watu kama machupa, madaraka selemani, Musa mgosi, Malota Soma, Edward Chumila, Damian Kimti, Boban,Juma Amir maftah, inakua ngumu sana kumweka Gabriel.