KIkosi bora cha week CAF Luis na Chama ndani

KIkosi bora cha week CAF Luis na Chama ndani

Huyu Luis ni kama anaandaliwa kuwa Mchezaji bora wa mashindano. Chama kilichombeba ni yale magoli yake mawili na assist (Goli la nne linafaa kuwa goli bora la wiki).

Hongera kwao na kwa Club pia - Tena wameingia kwa alama nyingi 8.6 na kuwazidi hao wengine walioingia nao
Goli la kwanza umelionaje, kama sio utukutu wa Morison si ajabu na yeye angekuwemo
 
Huwezi kumpima kipa na beki kama safu ya washambuliaji wa timu pinzani wako ipo weak, watafute viegezo vingine kwa position hizi mbili.

Utegemee ucheze na Uto halafu Manula awe na star nyingi zitoke wapi? Labda apande akashambulie
 
Nafikiri wiki ijayo Aishi naye atajumuishwa kwenye kikosi.
 
Hakika,hii ni mara ya tatu sasa. Ameshakuwa mchezaji bora wa wiki na wiki iliyopita alishindanishwa kuwa mchezaji bora na wenzie watatu.

Ukikaona kenyewe hakana hata time. Kule insta kalikuwa kimya mpaka kina Manara wakamtaka awe anapost kuiuza timu
Wana makubaliano hayo ya aipost timu? Wamuongeaee mzigo.
 
Back
Top Bottom