Kikosi cha Afrika cha muda wote

Kikosi cha Afrika cha muda wote

Hawa ndio wa kikosi changu niliyowashuhudia wakicheza live.
1.Idris Carlos Kameni
2.Geremi Fotso Njitap
3.Celestine Babayaro
4.Noureddine Naybet
5.Sunday Oliseh
6.Pape Bouba Diop
7.Mohammed Aboutrika
8.Austin Jay Jay Okocha
9.Samwel Eto'o Fils
10.Henry Camara
11.Finidi George
Benchi
1.Tony Silva
2.Omar Daf
3.Solomon Olembe
4.Patrick Mboma
5.Samwel Kufour
6.Frederick Kanoute
7.Tijani Babangida
8.Nwanko Kanu
Umefunga thread
 
kwakifupi umeanza kuangalia mpira juzi tu, hiyo list yako inabeba majina ya juzi na hao wote kombe la dunia hwaja wahi kufanya vizuri na timu zao isipo kua milla pekeyake.
Watanzania ndo shida tuliyonayo. Badala ya kujibu kwa hoja unajibu kwa maelezo yasiyo na ushahidi. Leta kikosi chako kitakachoonyesha utofauti na huyo mwenzako. Jibu kwa hoja ya kikosi chako.
 
Nimeanza.kushuhudia mpira since 1994,

AFCON, WORLD CUP NA MASHINDANO MENGINE YA AFRICA,
Hiki ni kikosi cha Africa cha muda wote,
1.Essam el Hadary
2.Rigobert song
3. Gomaa Egypt
4. Uche Okwechuku
5. Michael Essien
6. Yaya Toure/Taribo west
7. Roja Millar /Patric Mboma
8. Nankwo Kanu/ Mohamed abu Trika
9. Samuel Etoo/edibili Runyamila
10.Jay jay okocha/George weah
11.Didier Drogba/Amri zaki

Naomba.muweke.chenu.kila.mmoja
Mbona sijamuona Lucas Radebe kikosini?
 
Mtoa mada, umemuacha George Opong Weah na kumbeba Roger Milla? Milla ana nini cha maana? Au kuchezea timu ya taifa katika umri mkubwa?

Nimeheshimu mtazamo wako!
 
Nimeanza.kushuhudia mpira since 1994,

AFCON, WORLD CUP NA MASHINDANO MENGINE YA AFRICA,
Hiki ni kikosi cha Africa cha muda wote,
1.Essam el Hadary
2.Rigobert song
3. Gomaa Egypt
4. Uche Okwechuku
5. Michael Essien
6. Yaya Toure/Taribo west
7. Roja Millar /Patric Mboma
8. Nankwo Kanu/ Mohamed abu Trika
9. Samuel Etoo/edibili Runyamila
10.Jay jay okocha/George weah
11.Didier Drogba/Amri zaki

Naomba.muweke.chenu.kila.mmoja
kosa kubwa ni kumuacha mchezaji bora wa dunia 1995 ,haijawahi kutokea toka kuubwa kwa ulimwengu GEORGE WEAH
 
Nimeanza.kushuhudia mpira since 1994,

AFCON, WORLD CUP NA MASHINDANO MENGINE YA AFRICA,
Hiki ni kikosi cha Africa cha muda wote,
1.Essam el Hadary
2.Rigobert song
3. Gomaa Egypt
4. Uche Okwechuku
5. Michael Essien
6. Yaya Toure/Taribo west
7. Roja Millar /Patric Mboma
8. Nankwo Kanu/ Mohamed abu Trika
9. Samuel Etoo/edibili Runyamila
10.Jay jay okocha/George weah
11.Didier Drogba/Amri zaki

Naomba.muweke.chenu.kila.mmoja

Naomba umuongeze
flavio na manucho wa Angola
 
Back
Top Bottom