Umefunga threadHawa ndio wa kikosi changu niliyowashuhudia wakicheza live.
1.Idris Carlos Kameni
2.Geremi Fotso Njitap
3.Celestine Babayaro
4.Noureddine Naybet
5.Sunday Oliseh
6.Pape Bouba Diop
7.Mohammed Aboutrika
8.Austin Jay Jay Okocha
9.Samwel Eto'o Fils
10.Henry Camara
11.Finidi George
Benchi
1.Tony Silva
2.Omar Daf
3.Solomon Olembe
4.Patrick Mboma
5.Samwel Kufour
6.Frederick Kanoute
7.Tijani Babangida
8.Nwanko Kanu
Watanzania ndo shida tuliyonayo. Badala ya kujibu kwa hoja unajibu kwa maelezo yasiyo na ushahidi. Leta kikosi chako kitakachoonyesha utofauti na huyo mwenzako. Jibu kwa hoja ya kikosi chako.kwakifupi umeanza kuangalia mpira juzi tu, hiyo list yako inabeba majina ya juzi na hao wote kombe la dunia hwaja wahi kufanya vizuri na timu zao isipo kua milla pekeyake.
wanikumbusha mbali sana kwa huyo itutu kigi mkuu.bado kuna rosta nduguru hapoItutu Kigi
Ndiefi mchezaji Wa kawaida sana hawezi kuwemo hata kikosi cha 3 cha AfricaHii kikosi bila Ndiefi haijakamilika!!!!
Jamani Ndiefi yuko wapi? Alikuwa balaa huyu kiumbe!!!!
What about his current status? Anaeju atujuze.
Yusuf Chippo je?Yusuf haji na Mustapha hadji utawaachaje mzee?
Kalusha Bwalya uliwahi kumsikia? Na Ben MaCarthy je?Uko hamjui.mpira
Mbona sijamuona Lucas Radebe kikosini?Nimeanza.kushuhudia mpira since 1994,
AFCON, WORLD CUP NA MASHINDANO MENGINE YA AFRICA,
Hiki ni kikosi cha Africa cha muda wote,
1.Essam el Hadary
2.Rigobert song
3. Gomaa Egypt
4. Uche Okwechuku
5. Michael Essien
6. Yaya Toure/Taribo west
7. Roja Millar /Patric Mboma
8. Nankwo Kanu/ Mohamed abu Trika
9. Samuel Etoo/edibili Runyamila
10.Jay jay okocha/George weah
11.Didier Drogba/Amri zaki
Naomba.muweke.chenu.kila.mmoja
kosa kubwa ni kumuacha mchezaji bora wa dunia 1995 ,haijawahi kutokea toka kuubwa kwa ulimwengu GEORGE WEAHNimeanza.kushuhudia mpira since 1994,
AFCON, WORLD CUP NA MASHINDANO MENGINE YA AFRICA,
Hiki ni kikosi cha Africa cha muda wote,
1.Essam el Hadary
2.Rigobert song
3. Gomaa Egypt
4. Uche Okwechuku
5. Michael Essien
6. Yaya Toure/Taribo west
7. Roja Millar /Patric Mboma
8. Nankwo Kanu/ Mohamed abu Trika
9. Samuel Etoo/edibili Runyamila
10.Jay jay okocha/George weah
11.Didier Drogba/Amri zaki
Naomba.muweke.chenu.kila.mmoja
Yupo namba kumikosa kubwa ni kumuacha mchezaji bora wa dunia 1995 ,haijawahi kutokea toka kuubwa kwa ulimwengu GEORGE WEAH
Nimeanza.kushuhudia mpira since 1994,
AFCON, WORLD CUP NA MASHINDANO MENGINE YA AFRICA,
Hiki ni kikosi cha Africa cha muda wote,
1.Essam el Hadary
2.Rigobert song
3. Gomaa Egypt
4. Uche Okwechuku
5. Michael Essien
6. Yaya Toure/Taribo west
7. Roja Millar /Patric Mboma
8. Nankwo Kanu/ Mohamed abu Trika
9. Samuel Etoo/edibili Runyamila
10.Jay jay okocha/George weah
11.Didier Drogba/Amri zaki
Naomba.muweke.chenu.kila.mmoja
Duuuh, we mhenga ni wa kitambooo.Finid George, Samuel kufou, Daniel omokach na julius aghawa