Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ally Issa Ndala yuko wapi ?Jamaa wana kikosi kizuri saa aseee,ila hawana bahati tu.View attachment 2680585
Thubutu.Dube anaweza kucheza mechi 10 mfululizo.
Combination ya Amoah na Sebbo haiwezi kukupa ubingwaJamaa wana kikosi kizuri saa aseee, ila hawana bahati tu.View attachment 2680585
Hakuna mchezaji wa kumweka Benchi Ally Issa NdalaKwa hiyo kiungo,ndala atakaa sana benchi mkuu,hao ni watu wa kazi sana,ndala back pass kibao