Kikosi cha Feitoto kina wachezaji 7 kutoka Yanga

Kikosi cha Feitoto kina wachezaji 7 kutoka Yanga

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Feisal Faila kuff kama wanavyomuita watangazaji wa Azam rafiki za lawena msonda mzee wa makongorosi ametaja kikosi chake Bora Cha msimu ulioisha kupitia gazeti pendwa la michezo mwanaspoti ambapo humo ndani ameweka wachezaji 7 kutoka kikosi Bora Cha yanga wachezaji hao ni
1. Diara
2. Yao
3. Bacca
4. Aucho
5. Max
6. Pacome
7. Aziz
Hii list inaonesha ukubwa wa team bingwa

NB: Huyu kijana inawezekana anashida na Mudathir maana alipaswa kuwa sehem ya hiki kikosi.
 
Feisal Faila kuff kama wanavyomuita watangazaji wa Azam rafiki za lawena msonda mzee wa makongorosi ametaja kikosi chake Bora Cha msimu ulioisha kupitia gazeti pendwa la michezo mwanaspoti ambapo humo ndani ameweka wachezaji 7 kutoka kikosi Bora Cha yanga wachezaji hao ni
1.Diara
2.Yao
3.Bacca
4.Aucho
5.Max
6.Pacome
7.Aziz
Hii list inaonesha ukubwa wa team bingwa
NB
Huyu kijana inawezekana anashida na Mudathir maana alipaswa kuwa sehem ya hiki kikosi
Acha uchochezi alimtaja Mudathiri tena kwa lafudhi yake akasema mudasiri.....alitaja 8 Yanga 3 Azam...
 
Acha uchochezi alimtaja Mudathiri tena kwa lafudhi yake akasema mudasiri.....alitaja 8 Yanga 3 Azam...
Alitaja wachezaji 9 wa Yanga na 2 wa Azam akijihesabia na yeye mwenyewe.
 
NBC msimu uliopita strikers walikua butu sana mpaka guede kutajwa, ningempa waziri junior hapo
Kwa kweli striker Bora msimu ulioisha ni Waziri Junior sema labda wengi hawakuifatilia kmc ila jamaa yuko shap sana
 
Back
Top Bottom