Acha uchochezi alimtaja Mudathiri tena kwa lafudhi yake akasema mudasiri.....alitaja 8 Yanga 3 Azam...Feisal Faila kuff kama wanavyomuita watangazaji wa Azam rafiki za lawena msonda mzee wa makongorosi ametaja kikosi chake Bora Cha msimu ulioisha kupitia gazeti pendwa la michezo mwanaspoti ambapo humo ndani ameweka wachezaji 7 kutoka kikosi Bora Cha yanga wachezaji hao ni
1.Diara
2.Yao
3.Bacca
4.Aucho
5.Max
6.Pacome
7.Aziz
Hii list inaonesha ukubwa wa team bingwa
NB
Huyu kijana inawezekana anashida na Mudathir maana alipaswa kuwa sehem ya hiki kikosi
Alitaja wachezaji 9 wa Yanga na 2 wa Azam akijihesabia na yeye mwenyewe.Acha uchochezi alimtaja Mudathiri tena kwa lafudhi yake akasema mudasiri.....alitaja 8 Yanga 3 Azam...
8 I mean wa dimbani ukimuondoa Diara...Alitaja wachezaji 9 wa Yanga na 2 wa Azam akijihesabia na yeye mwenyewe.
8, kasoro namba 3,5 na 10Alitaja wachezaji 9 wa Yanga na 2 wa Azam akijihesabia na yeye mwenyewe.
NBC msimu uliopita strikers walikua butu sana mpaka guede kutajwa, ningempa waziri junior hapoBila Guede hicho kikosi ni batilii
Msimu ujao Guede atakua fireNBC msimu uliopita strikers walikua butu sana mpaka guede kutajwa, ningempa waziri junior hapo