Kikosi cha Ghana maandalizi ya world cup nisaidieni kutafuta naona kama hakuna Okra Humu

Kikosi cha Ghana maandalizi ya world cup nisaidieni kutafuta naona kama hakuna Okra Humu

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Ghana qka black star
Fb86rzkWIAAnbKQ.jpeg
 
Na wewe unaamin siasa za mpira wa bongo?

Vilabu vya pombe samahani vya mpira vya TANZANIA havina uwezo wala ushawishi wa kumsajir mchezaj anayeanza X1 ya mataifa haya katka timu zao za taifa

Ghana

Egypt

Cameron

Guinea

Ivory coast

Tunisia
Morocco

ALgeria

Nigeria

Wakimtoa huko jua huyo n wa Kawaida TU kwao labda kwa mashindano ya CHAN

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ghana wanawachezaji zaidi ya 300 ,kigezo cha Kwanza cha kuitwa timu ya taifa ni kuwa lazima uwe unacheza EPL ,Jambo la pili lazima uwe kwenye first team maana unaweza ukawa kwenye ligi za ulaya lakini haupo kwenye first team kama upo ligi za Africa watakuchukua ile nafasi ambayo haina ushindani mkubwa
 
Kuna jamaa alikua Azam FC hapo alikua national team ya Ghana jina limenitoka
 
Ha ha ha world cup ni wachezaji 20 tu wa ndani . Na makipa wa 3 tu.

Sasa mchezaji wa ligi ya Bongo anaanzia wapi kupata nafasi katika hao 20. Angalau angekuwa kipa angeweza bahatisha katika wa 3 makipa.

Sheria ya fifa timu inapaswa kwenda world cup na wachezaji 23 tu jumla.. na katika hao 23 watatu lazima wawe makipa tu.
 
Haya ni mchezaji gani wa yanga ameitwa national team kwa wachezaji wa nje.
 
Simba walitamba sana Wana mchezaji wa WC na niliwaambia kuja Simba hatoitwa tena hata Ghana waite vikosi vitatu sasa leo maneno yangu yameanza kujidhihirisha.
 
Unakuta mleta mada ni baba wa watoto wawili tena anategemewa na familia yake.
Thread Kama hii ilifaa iletwe na dogo wa form two.
 
Back
Top Bottom