Kikosi cha Ghana maandalizi ya world cup nisaidieni kutafuta naona kama hakuna Okra Humu

Kikosi cha Ghana maandalizi ya world cup nisaidieni kutafuta naona kama hakuna Okra Humu

Kwani Jamaa wa EFUA QUM hajaitwa?
 
Sijamuona nimeona jina la Morrison
 
Uchafu huo, Thomas Partey hawezi kucheza na matakataka. Partey anacheza na Salisu, Sulemana, Ayew brothers.
 
Unakuta mleta mada ni baba wa watoto wawili tena anategemewa na familia yake.
Thread Kama hii ilifaa iletwe na dogo wa form two.
Koloa lingine mlitutambia kuwa mna mchezaji wa black star au mlimaanisha Buguruni Ghana
 
Siku zote Ghana nawakubali sana na ndiyo nadhani spirit ya Afrika ilipo katika nyanja zote ila wakipeleka timu hii hawavuki group stage.
 
Na wewe unaamin siasa za mpira wa bongo?

Vilabu vya pombe samahani vya mpira vya TANZANIA havina uwezo wala ushawishi wa kumsajir mchezaj anayeanza X1 ya mataifa haya katka timu zao za taifa

Ghana

Egypt

Cameron

Guinea

Ivory coast

Tunisia
Morocco

ALgeria

Nigeria

Wakimtoa huko jua huyo n wa Kawaida TU kwao labda kwa mashindano ya CHAN

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Razack Abarola amewahi kuitwa Ghana akichezea Azam Fc
 
Ni kweli kabisa huwezi kuja kuchezea timu hizi za Afrika Mashariki halafu eti ndio uitwe kuchezea timu kama Black Stars, hilo halipo kabisa labda Chan unaweza kubahatisha.

Nchi kama Ghana ina wachezaji wa kulipwa kibao wanaosakata soka barani Ulaya hivyo hata hawafahamu kwamba kuna mchezaji kutoka nchini kwao anachezea timu ya Tanzania.
 
Lkn simba ni timu kubwa
 
Back
Top Bottom