Kikosi cha Ghana maandalizi ya world cup nisaidieni kutafuta naona kama hakuna Okra Humu

Kwani Jamaa wa EFUA QUM hajaitwa?
 
Sijamuona nimeona jina la Morrison
 
Uchafu huo, Thomas Partey hawezi kucheza na matakataka. Partey anacheza na Salisu, Sulemana, Ayew brothers.
 
Unakuta mleta mada ni baba wa watoto wawili tena anategemewa na familia yake.
Thread Kama hii ilifaa iletwe na dogo wa form two.
Koloa lingine mlitutambia kuwa mna mchezaji wa black star au mlimaanisha Buguruni Ghana
 
Siku zote Ghana nawakubali sana na ndiyo nadhani spirit ya Afrika ilipo katika nyanja zote ila wakipeleka timu hii hawavuki group stage.
 
Razack Abarola amewahi kuitwa Ghana akichezea Azam Fc
 
Ni kweli kabisa huwezi kuja kuchezea timu hizi za Afrika Mashariki halafu eti ndio uitwe kuchezea timu kama Black Stars, hilo halipo kabisa labda Chan unaweza kubahatisha.

Nchi kama Ghana ina wachezaji wa kulipwa kibao wanaosakata soka barani Ulaya hivyo hata hawafahamu kwamba kuna mchezaji kutoka nchini kwao anachezea timu ya Tanzania.
 
Lkn simba ni timu kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…