Kikosi cha JF Simba kitakachoipa kichapo kitakatifu kikosi cha JF Yanga

Shukrani aisee Nitafanya Mambo ya Nasor Cholo miaka hiyo
 
Yaani nimejikuta nacheka na Kufarijika.
 
Yani ukitaka kucheka wakati wa mechi ya Yanga njoo JF alafu search post au comments by OKW BOBAN SUNZU au NAWATAFUNA uone vituko. Huwa wanainanga Yanga kama hujui mpira unaweza dhani ni timu ya kijiweni [emoji2]
Utawaonea huruma siku ambazo mnyama anapewa kipigo, msimu huu wajiandae na dawa za kupunguza maumivu.
 

Waletee,Air Manula wa Simba JF nipo tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi ntabeba bango la tawi la ufipa lenye maandishi "watoto wa mama J tunafumua mshono wa kapumbu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…