Kikosi cha JF Simba kitakachoipa kichapo kitakatifu kikosi cha JF Yanga

Kikosi cha JF Simba kitakachoipa kichapo kitakatifu kikosi cha JF Yanga

Nilikuwa napita tu nashangaa nimejumuishwa kwenye kikosi cha ushindi. Napata nguvu ya ushindi kwa sababu na wataalam wa matunguli tunao kwenye kikosi.
 
Mkuu umeniacha wapi
QUOTE]Simba ina kikosi kipana,muda mchache kitatoka jf Simba international players kikosi kitakacho cheza mechi za kimataifa,kuna uratibu wa kucheza mechi ya kimataifa kati ya jf Simba kimataifa na jf east Afican forums.
Nafasi ya kiungo mshambuliaji jf Simba east Africa itakuhusu.
 
Utampatia acount number yako ya bank kiongozi wa kamati ya ushindi Mshana Jr .
Kwa udhamini wangu nina bonus kama zote
Screenshot_20210915-214104.jpg
 
Hiyo mechi mnachezea hapahapa JF au wapi?nije niishuhudie...
 
Si unajua Utopolo mambo yao yalivyo,mpaka sasa awajatengeneza timu,bado wanaskilizia kwanza uko Nigeria wakupigwa awaundi timu yao ya jf Yanga..

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Utopolo ni Utopolo tu mahali popote walipo huwa awabadiliki hawa.
 
Namba 10 bila kuwepo mwenyewe hapo hakuna ushindi!!
Wewe utaingia sub kipindi cha pili,inasemekana una injury za kutosha mechi moja uwanjani nyingine gereji kama Shaban Djuma wa Yanga[emoji23]
 
Wewe utaingia sub kipindi cha pili,inasemekana una injury za kutosha mechi moja uwanjani nyingine gereji kama Shaban Djuma wa Yanga[emoji23]
Mbona unanichna ukweli man mimi full injury
 
Huyu Mightier ungempa kitengo cha Habari au Uhamasishaji, maana si kwa mdomo huo
Kitengo cha Habari wala hakimfai. Huwa anatoa sana siri za ndani. Awe kocha tu.

Nakumbuka tulipocheza na Kaizer aliwahi kufichua siri za ndani kuwa Mganga kasema ili tutinge Nusu fainali ni lazima tumtoe 'Haji au CEO'. (Wote walikataa), kwa bahati mbaya Haji alifiwa na Bibi yake na tukaishia kupata magoli matatu tu
 
Kwenye ukipa hapo shaka ondoeni ntadaka na dera kabisaaa navaa dela over size
 
Back
Top Bottom