Kikosi cha JF Simba kitakachoipa kichapo kitakatifu kikosi cha JF Yanga

Mshana hiyo kamati ya ufundi imemfaa ili apambane na Mzee Mpili.

Kocha angekuwa Gentamicin msaidizi ni kivuli chake Mightier
Makocha uliowaweka hapa ni mtu mmoja mwenye majina mengi.
 
Wewe jamaa siku ya mwisho utakwenda jehanamu moja kwa moja! Hakutakuwepo na Wakili yeyote Msomi wa kukutetea mbele ya Izraeli mtoa roho!

Yaaani umechukua matunguri yako ya uganga! Ukayapiga picha, halafu unakuja kusingizia eti ni ya Wananchi!!
Mimi ni peponi moja kwa moja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oya mm niwe ata muandazi basi ...upande wa Simba
 
Kumekucha ila hiyo list bila mimi ni batili haiwezekani Katibu mkuu wa kamati yaroho mbaya nikosekane

Nasemaje Bora Leo Simba tufungwe 10-0 na TPM
Kuliko utopolo wafunge hata moja huko kwa kina igweeeeeee

Hata sale wakose kabisa Utopolo
Utopolo Mbele na Nyuma wapigwe!

Simba Mbele daima Nyuma Mwiko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…