Kikosi cha Jumamosi ijayo chini ya Patrick Mabedi, mapema tu wamalawi wanakufa kama kikipangwa

Kikosi cha Jumamosi ijayo chini ya Patrick Mabedi, mapema tu wamalawi wanakufa kama kikipangwa

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,911
Reaction score
28,469
I salute you kinsmen

Folz tayari kishamlamba na sasa tuangalie mbele zaidi na kaimu kocha Mabedi..

Ila nina imani kuwa Bala mussa conte sio mbaya kihivyo ila mfumo tu ule ulimkataa.

Kama jumamosi kikosi kikiwa hivi hakika tunaua mbu kwa rungu la kipepe.

1️⃣Diara

2️⃣hapa acheze assinki
🟡 badala ya mwenda. Lengo likiwa ni kutengeneza ukuta solid sana Nyuma na kuhakikisha viungo ndio wanakuwa priority kwenye kushambulia Zaidi mwenda aingie kipindi cha pili jamaa wakiwa wamechoka.

3️⃣ hapa aanze shabalala badala ya boka.
🟡 sababu ni usahihi wa krosi na pasi za mwisho shabalala ameimprove zaidi kuliko boka ambaye anaanzisha kazi vizuri ila mwishoni anashindwa kuassist
Zaidi boka anamwagia maji mbali sana kwenye kibendera..

4️⃣ na 5️⃣ hapa bacca na job kama kawaida
🟡 ila bacca ajitathmini sana amekuwa akichelewa sana kwenye interception zake na hesabu zake.

6️⃣ aziz andambwile/Duke abuya
🟡 alizidiwa pale kati jana ila sio mbaya hatuna namba sita mzuri wa kufanya kazi hiyo conte anahitaji game time sana kurudisha confidence

🟡Solution ni Duke ni grisi ambaye ni punda kufanya kazi andambwile akizidiwa aingie huyu lakini kama kocha atataka double pivot sawa anaweza kuwapanga wote kutokana na mfumo wake.

7️⃣ maxi
Huyu uwezo wake unajulikana kabisa na work rate kubwa uwanjani.apunguze uchoyo tu basi akitulia ana goli jumamosi
🟡 sub yake ni kijana offen chikola
Huyu kijana ana uwezo mkubwa wa cross zenye macho makali kama bundi
Nyie wenyewe mashuhuda mechi ile na waangola alichokifanya pale dakika alizocheza, yupo sharp na direct na mguu wake wa kushoto unakata ndani kama wembe wa Gillette!

8️⃣Doumbia
Huyu anatakiwa kuanza maana team inatakiwa kucheza na kumiliki mpira doumbia anaiweza hiyo kazi vizuri sana kwa kuwa tunahitaji magoli tunahitaji mtu aliye direct zaidi kwenda mbele na team icheze zaidi japokuwa huyu hawezi kumaliza game sababu ya fitness lakini ndio mwenye kujua kucheza namba nane vizuri hiyo kumi wanamforce tu.
🟡 sub yake ni mudathir yahya aingie kukichafua wakiwa wamechoka na kupiga mabuti tukiwa ba magoli tayari mbona wamalawi wanakufa?

9️⃣ Dube aanze kuliko boyeli
🟡 Dube ana matatizo ya umaliziaji mzuri ila bado ana manufaa makubwa sana pale mbele kukaa na mali na kutengeneza nafasi wakati boyeli sio mbaya ila box striker ambaye anapenda zaidi kuwekewa mali kwenye box na kumaliza kazi,
Mechi inamuhitaji Dube kipindi cha kwanza halafu boyeli kipindi cha pili zaidi.

🔟 Kouma
🟡Hapa kocha amuamini huyu kijana ana kitu kikubwa sana mguuni anakosa sehemu sahihi ya kukionyesha.
Kouma akiwa namba kumi tutapata faida zake nyingi
Uwezo wa kupiga pasi maeneo finyu, mashuti makali.na na jicho kali la assist Kouma apewe namba 10 yake

1️⃣1️⃣ pacome
🟡Huyu haina haja ya kumuelezea zaidi
Na kama mzize atakuwa mzima basi naye atapokelezana na pacome upande huo ikiwa pacome atachoka na pacome ataenda kulia max atatoka na kushoto atacheza mzize


Hapa mapema sana wamalawi wanakufa mapema mnoo tu
Its Pancho
 
Hakuna haja ya kumleta kocha mpya tena asimamie mechi ya jumamosi ni kubeti tu hapo

Patrick Mabedi aachiwe kazi hii anatuvusha mapema tu.
Wachezaji wa yanga hawakuzoes mfumo ule wa folz wa counter attack wamezoea kumiliki mpira
 
Hii mechi Miloud angeimaliza mapema sana, jamaa alijua kuwatumia wachezaji waliopo kupata matokeo. Hakukuwa na Aucho ila Azam wakaonekana wa kawaida tu pamoja na kukamia kwao mechi.

Mabedi hana uchungu na Yanga ikitolewa, kwasababu hiyo timu ni ya nyumbani kwao. Yanga ifanye la kufanya aje kocha mkuu mapema asimamie mechi ya marudiano
 
Hii timu utafungwa mchana kweupe.
Kouma- hana hata hadhi ya kucheza Yanga ni mchezaji wa kawaida mno. Yuko slow na Wamalawi wanakaba time and space Kwa Kouma hiyo mechi ni ngumu

Doumbia huyu ni game changer mzuri nizuri akitokea bench

Assnk
Huyo ni beki wa kati

Adambwile
Hakuna haja ya kujilinda sana na unajua tuko nyuma goli 1
Hapa busara ni kuanza na Abuya na Mudathiri ambao wanakupa kitu kikubwa kwenye kushambulia

Max
Huyu aanze bench aingie kipindi cha pili kubadili game ukiwa ngumu. Maxi ni kama ana fatigue na hafanyi maamzi mazuri

Coach acheze hivi
Diarra
Tshabalala
Mwenda
Job
Baca
Abuya
Mudathiri
Chikola
Ecua
Pacome
Dube

Hii first 11 kipindi cha kwanza nakuwa naongoza 3
 
Hii mechi Miloud angeimaliza mapema sana, jamaa alijua kuwatumia wachezaji waliopo kupata matokeo. Hakukuwa na Aucho ila Azam wakaonekana wa kawaida tu pamoja na kukamia kwao mechi.

Mabedi hana uchungu na Yanga ikitolewa, kwasababu hiyo timu ni ya nyumbani kwao. Yanga ifanye la kufanya aje kocha mkuu mapema asimamie mechi ya marudiano
Mkuu
Mabedi sababu ni mmalawi kwahiyo yupo radhi apoteze kibarua chake sababu tu team ya home ishinde halafu akale wapi?

Pale yupo kazini na sio utaifa kocha akija ndio yatakuwa yale yale ya kukaa week moja ndio asimame kwenye pitch line itakuwa vichekesho tupu kama vile vya folz

Na hapo ndioo umuhimu wa yule jamaa moalim unakuwepo now angesimama kwenye benchi kama msaidizi wa mabedi mambo yangekuwa poa huku viongozi wanatafuta kocha mpya aje .

Mabedi anatosha kabisa hakuna swala la utaifa mbele ya kibarua chake kiote nyasi nani atamlisha?

Yanga anapita jumamosi mkuu mark this
 
Assnk
Huyo ni beki wa kati
Assinki anacheza beki ya kati na kulia fuatilia tangu akiwa singida pia

Adambwile
Hakuna haja ya kujilinda sana na unajua tuko nyuma goli 1
Hapa busara ni kuanza na Abuya na Mudathiri ambao wanakupa kitu kikubwa kwenye kushambulia
Hakuna shida vyovyote tu kocha atapanga ila jua ulinzi unaanzia na namba sita mwenyewe.

Max
Huyu aanze bench aingie kipindi cha pili kubadili game ukiwa ngumu. Maxi ni kama ana fatigue na hafanyi maamzi mazuri
Suggest hapa nani aanze nafasi yake
Coach acheze hivi
Diarra
Tshabalala
Mwenda
Job
Baca
Abuya
Mudathiri
Chikola
Ecua
Pacome
Dube

Hii first 11 kipindi cha kwanza nakuwa naongoza 3
Sawa mkuu kila mmoja ana mawazo yake mwisho wa siku wote tunajenga nyumba moja
 
Assinki anacheza beki ya kati na kulia fuatilia tangu akiwa singida pia


Hakuna shida vyovyote tu kocha atapanga ila jua ulinzi unaanzia na namba sita mwenyewe.


Suggest hapa nani aanze nafasi yake

Sawa mkuu kila mmoja ana mawazo yake mwisho wa siku wote tunajenga nyumba moja
Max anapoza timu
Adabwile yupo defensive minded sana, hafai mechi ya kutaka kufungua pattern za Wamalawi
Sioni haja yoyote ya kumweka Mwenda bench
 
Assinki anacheza beki ya kati na kulia fuatilia tangu akiwa singida pia


Hakuna shida vyovyote tu kocha atapanga ila jua ulinzi unaanzia na namba sita mwenyewe.


Suggest hapa nani aanze nafasi yake

Sawa mkuu kila mmoja ana mawazo yake mwisho wa siku wote tunajenga nyumba moja
Badala ya max nitaenda na Chikola
 
Max anapoza timu
Abuya yupo defensive minded sana, hafai mechi ya kutaka kufungua pattern za Wamalawi
Sioni haja yoyote ya kumweka Mwenda bench
Lakini hapo mwanzo ulisema aanze Duke na mudathir vipi sasa umebadili mkuu?

Au aingie kipindi cha pili?
 
Badala ya max nitaenda na Chikola
Hapa sawa kabisa kijana yupo direct sana haoa tunaenda sawa kabisa hata chikola.akianza ni sawa tu

Max ana tabia flani ya kupooza anakimbia anarudi anapunguza mwendo then ndio anatoa pasi sasa
 
Lakini hapo mwanzo ulisema aanze Duke na mudathir vipi sasa umebadili mkuu?

Au aingie kipindi cha pili?
Yaah
Naanza na Duke na Muda

Mbele Yao naweka Mawinga wanaojua ku cut in Kwa haraka Chikola na Ecua.
Maana Wamalawi watakuja kuzuia na kubana uwanja, kwaiyo hapo ukileta mbwembwe za kuanza na Doumbia na Kouma utakutana na mechi ngumu hatari

Mbele namtia
Dube akimbie sana pale mbele hata asipofufu

Pacome yeye atafunga
 
Chama si kilimkata injinia kwenye ugombezi wake wa kuwa mbu nge, ngoja ainyoshe hiyo timu, na haikwendi makundi ng'o.
 
Yaah
Naanza na Duke na Muda

Mbele Yao naweka Mawinga wanaojua ku cut in Kwa haraka Chikola na Ecua.
Maana Wamalawi watakuja kuzuia na kubana uwanja, kwaiyo hapo ukileta mbwembwe za kuanza na Doumbia na Kouma utakutana na mechi ngumu hatari

Mbele namtia
Dube akimbie sana pale mbele hata asipofufu

Pacome yeye atafunga
Vyovyote vile lazima Dube aanze hapa ndio unaelewa kwanini makocha wengi walikuwa wana prefer Dube
 
Back
Top Bottom