Pia ni mzuri kwenye assisting.Yaah Dube anafanya runnings nyingi mbele hivo kunyima mabeki utulivu na kuwapa nafasi akina na Pacome wafunge sana
Kocha mwenzangu kwenye ishu ya Duke Abuya nitakupinga. Mechi ijayo kwa namna yoyote ile Duke Abuya anatakiwa kuanza, kwa sababu ana nguvu! Lakini pia anashambulia. (Na siyo defensive minded kama unavyo mchukulia).Max anapoza timu
Abuya yupo defensive minded sana, hafai mechi ya kutaka kufungua pattern za Wamalawi
Sioni haja yoyote ya kumweka Mwenda bench
Kwa Abuya tupo pamoja.Kocha mwenzangu kwenye ishu ya Duke Abuya nitakupinga. Mechi ijayo kwa nna yoyote ile Duke Abuya anatakiwa kuanza, kwa sababu ana nguvu! Lakini pia anashambulia. (Na siyo defensive minded kama unavyo mchukulia).
Kimsingi kwenye mechi ijayo, waanzishwe wachezaji wenye mbio, nguvu na akili ya mpira! Kwa sababu Silver Strikers wachezaji wake wote wana sifa hiyo. Wakianzishwa wachezaji nyolonyolo, tutaaibika kwa mara nyingine tena.
NB:- Bacca na Max Nzengeli wapumzishwe kwenye mechi ijayo, na nafasi yake ichukuliwe na Assinki + Offen Chikola/Ecua
Naunga mkono pia Zimbwe Jr akianza kwenye hiyo mechi, na Israel Mwenda abakie kuchez namba 2.
Nilimaanisha AdabwileKocha mwenzangu kwenye ishu ya Duke Abuya nitakupinga. Mechi ijayo kwa namna yoyote ile Duke Abuya anatakiwa kuanza, kwa sababu ana nguvu! Lakini pia anashambulia. (Na siyo defensive minded kama unavyo mchukulia).
Kimsingi kwenye mechi ijayo, waanzishwe wachezaji wenye mbio, nguvu na akili ya mpira! Kwa sababu Silver Strikers wachezaji wake wote wana sifa hiyo. Wakianzishwa wachezaji nyolonyolo, tutaaibika kwa mara nyingine tena.
NB:- Bacca na Max Nzengeli wapumzishwe kwenye mechi ijayo, na nafasi yake ichukuliwe na Assinki + Offen Chikola/Ecua
Naunga mkono pia Zimbwe Jr akianza kwenye hiyo mechi, na Israel Mwenda abakie kuchez namba 2.
Yah nadhani Dube kuweka bench amewaonyesha mashabiki wasiojua mpira potential yakePia ni mzuri kwenye assisting.
Huyu Boyeli bado hajaprove.
Sio kwenye kufunga wala assisting.
Japo wote michosho ila bora Dube mara mia kuliko Boyeli.
Hapa tuko pamoja. Hata kwenye mechi ya jana Duke Abuya alitakiwa aanze kuanzia mwanzo. Ni vile tu kocha aliwadharau Silver Strikers, lakini tangu aajiriwe alikuwa na mapenzi ya kipekee na Aziz Andabwile.Nilimaanisha Adabwile
Ecua ni bonge la mchezaji sema hajapata coach wa kumtumia vizuri
Group stage tunaenda huyo kocha akituliza kichwa
Boyeli ni type ya mastriker wanaopenda kucheza kwenye box zaidiPia ni mzuri kwenye assisting.
Huyu Boyeli bado hajaprove.
Sio kwenye kufunga wala assisting.
Japo wote michosho ila bora Dube mara mia kuliko Boyeli.
Hebu turudi kwenye game ile na Simba tuliyoshinda mbili bila ndio utaona namna gani Hamdi alifanikiwa kumtumia Duke abuya namna inavyotakiwa.Hapa tuko pamoja. Hata kwenye mechi ya jana Duke Abuya alitakiwa aanze kuanzia mwanzo. Ni vile tu kocha aliwadharau Silver Strikers, lakini tangu aajiriwe alikuwa na mapenzi ya kipekee na Aziz Andabwile
Chikola toa hapo mkuuHii timu utafungwa mchana kweupe.
Kouma- hana hata hadhi ya kucheza Yanga ni mchezaji wa kawaida mno. Yuko slow na Wamalawi wanakaba time and space Kwa Kouma hiyo mechi ni ngumu
Doumbia huyu ni game changer mzuri nizuri akitokea bench
Assnk
Huyo ni beki wa kati
Adambwile
Hakuna haja ya kujilinda sana na unajua tuko nyuma goli 1
Hapa busara ni kuanza na Abuya na Mudathiri ambao wanakupa kitu kikubwa kwenye kushambulia
Max
Huyu aanze bench aingie kipindi cha pili kubadili game ukiwa ngumu. Maxi ni kama ana fatigue na hafanyi maamzi mazuri
Coach acheze hivi
Diarra
Tshabalala
Mwenda
Job
Baca
Abuya
Mudathiri
Chikola
Ecua
Pacome
Dube
Hii first 11 kipindi cha kwanza nakuwa naongoza 3
Chikola ana talent kubwa Mzee, we nisikilize Mimi najua mpira naweza kuona kipaji, Nina uhakika Chikola akipata playing time hata Max atasugua benchChikola toa hapo mkuu
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa Duke Abuya. Mwamba akiwa uwanjani humuoni anatembea au kusubiri mpira. Muda wote anakimbia! Utamuona nyuma anakaba, baadaye utashangaa yuko mbele anashambulia!Hebu turudi kwenye game ile na Simba tuliyoshinda mbili bila ndio utaona namna gani Hamdi alifanikiwa kumtumia Duke abuya namna inavyotakiwa.
Yanga walikuwa na 3-2-2-3 on the ball na Simba katika 3-4-3 , ambapo kulikuwa na 4v4 kwenye kiungo lakini Yanga walikuwa wafanisi sana hasa hasa katika kukamilisha vitendo vyao ( kupora mipira , kupiga pasi , kucheza mipira ya juu na chini ) kitu ambacho kwa Simba kulikuwa viseversa
Duke alikuwa kama punda kufukiwa mashimo yote yanatokea katikati na kweli ana nguvu sana na pumzi na anajua sana kushambulia
Naona kwa waliomfuatilia akiwa singida ile basi watajua Duke alikuwa winga Kuna muda na muda mwingine namba 8
Kwahiyo ni nature yake tu na namna kocha atakavyompanga ila popote anakichafua hasa akicheza yeye na muda pale kati yaani watu hawatemi hata mate mkuu
Yule dogo Chikola ni mzuri sana. Ecua aanzie benchi tu huko huko kwanza. Nakubaliana na wewe na ngara23 kuhusu Mwenda, kwa sasa hatuna namba 2 bora kuliko Mwenda.Kocha mwenzangu kwenye ishu ya Duke Abuya nitakupinga. Mechi ijayo kwa namna yoyote ile Duke Abuya anatakiwa kuanza, kwa sababu ana nguvu! Lakini pia anashambulia. (Na siyo defensive minded kama unavyo mchukulia).
Kimsingi kwenye mechi ijayo, waanzishwe wachezaji wenye mbio, nguvu na akili ya mpira! Kwa sababu Silver Strikers wachezaji wake wote wana sifa hiyo. Wakianzishwa wachezaji nyolonyolo, tutaaibika kwa mara nyingine tena.
NB:- Bacca na Max Nzengeli wapumzishwe kwenye mechi ijayo, na nafasi yake ichukuliwe na Assinki + Offen Chikola/Ecua
Naunga mkono pia Zimbwe Jr akianza kwenye hiyo mechi, na Israel Mwenda abakie kuchez namba 2.
Kikubwa pia twendeni uwanjani kuwasapot vijana. Mimi nitakuwepo uwanjani Jmosi ikiwa game itapigwa kwa Mkapa.Nilimaanisha Adabwile
Ecua ni bonge la mchezaji sema hajapata coach wa kumtumia vizuri
Group stage tunaenda huyo kocha akituliza kichwa
Nina wasiwasi sana sema inshallah tutatoboaYule dogo Chikola ni mzuri sana. Ecua aanzie benchi tu huko huko kwanza. Nakubaliana na wewe na ngara23 kuhusu Mwenda, kwa sasa hatuna namba 2 bora kuliko Mwenda.
Kwa Mkapa tutaupiga mwingi saana Jmosi. Ninaamini timu itafufuka upya. Viungo wakae watatu, Abuya na Muda ila Muda atengenezwe vyema katika pasi za mwisho, mbele yao asimame Doumbia. Huyu dogo bado ni mzuri sana sana ila tu mwalimu mzuri wa kumtumia hatuna. Pacome, Dube na Chikola wasimame mbele. Mzize akiwa Sub itatusaidia sana second half ila aingie walau dakika 60.
Wachezaji kadhaa walianza kushuka toka Folz achukue timu, Abuya ni mmoja wapo, Pacome pia kwa sehemu, Muda hadi leo hajakaa sawa, Maxi kuna kipindi alianza kurudi katika form ila ameshuka kidogo.Hapa tuko pamoja. Hata kwenye mechi ya jana Duke Abuya alitakiwa aanze kuanzia mwanzo. Ni vile tu kocha aliwadharau Silver Strikers, lakini tangu aajiriwe alikuwa na mapenzi ya kipekee na Aziz Andabwile.
I agree kwa 80%.Chikola ana talent kubwa Mzee, we nisikilize Mimi najua mpira naweza kuona kipaji, Nina uhakika Chikola akipata playing time hata Max atasugua bench