Labda kombe la MAMAKIMBOTutanyakua kombe kwa njia ya matuta
Hatunaa huo uzalendooo, emu tuacheeee bhanaa wweNdugu zangu waTanzania wapenda michezo. Japokuwa Utopolo wakishinda watakuwa na kelele na kejeli ila hawa waarabu wamekuwa wakitunyanyasa sana. Unafurahishwaje na mwarabu anayetupopoa kila mara bila kujali ni Simba au Uto? Tuwaombee Yanga vyura ushindi waje na kelele zao tutadeal nazo.
Sio uzalendo, hakuna uzalendo kwenye Club ila mwarabu amekuwa akituonea sana. Si timu ya taifa, si club mpaka inafika hatua unatamani umuone akisononeka na kulia anapokutana na yoyote.Hatunaa huo uzalendooo, emu tuacheeee bhanaa wwe
Sawa, MunguVyovyote mtakavyokuwa kipigo ni pale paleee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Jana palikua na mabeki wangapi!?..hupo serious..mauya akafanye nini kwenye game unayohitaji kushinda!?..hapo yanga sharti waanze na wachezaji wenye mawazo ya kushambulia zaidiKikosi cha kuiua USM kwao
Kikosi kiwe 3:5:2
1 Diara
2 Juma Shaban
3 Lomalisa
4 Mwamunyeto
5 Job
6 Baka
7 Zawadi mauya
8: Bangala
9 Mayele
10: Mudathir
11 Morrison
Yaani kuwe na mabeki watatu Baka,job na Mwamunyeto.
Viungo watano Juma Shaban, Lomalisa, Zawadi mauya, Mudathir na bangala
Mbele Wabaki Mayele na Morrison
Hawa wasikabe kazi yao ni kushambulia na wote wakae pembeni ya uwanja wakae bila mtu yeyote wa kuwamaki kazi yao kubwa iwe wakipata mpira wanafanya kukokota kuelekea kwenye box
Wakikaa pembeni watawalazimisha wale fullback wawili wa USM wasipande.
Pia itatoa nafasi kwa viungo 5 wa Yanga kuweka presha kwenye mpira tutengeneze mabao kutoka pembeni na inawezekana.
Maana tukiziba pembeni ambapo ukiangalia mabao yao yote mawili yalitokea hawana uwezo wa kupita katikati tutakuwa tumejaza viungo.
Tia nje Azziz ki na Musonda wataingia badae !!!
Tukienda hivi hii game tunashinda 3 kwa moja. Au 4 kwa 2 !!
Asante kwa kushiriki watu wapo final!?..Asante kwa kushiriki ni kwa wale wanaoishia robo na kukoka moto uwanjani!!Mtani asante kwa kushiriki sasa hivi hata akili zenu bado haziamini kama jana mmefungwa...hahahaa mbaya zaidi hata Nabi hamumtaki tena dooh! Kweli utopolo mashabiki akili zenu zipo kwenye njia ya kutolea kinyesi..
Haya mambo ni ya kipara gurdiolla nawazoom wajichanganye tuu[emoji1787][emoji1787]Waache wajichanganyeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa, Mungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo ni ya kipara gurdiolla nawazoom wajichanganye tuu[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkishabondwa kule Algeria ndo tutajadili hilooooSio uzalendo, hakuna uzalendo kwenye Club ila mwarabu amekuwa akituonea sana. Si timu ya taifa, si club mpaka inafika hatua unatamani umuone akisononeka na kulia anapokutana na yoyote.