Kikosi cha kushinda Algeria kiwe 3:5:2

Kikosi cha kushinda Algeria kiwe 3:5:2

Hiyo formation ni nzuri kama mnamiliko mpira.

Kama timu haimiliki mpira basi huwezi kutegemea kumuona Morrison kwenye ubora.

Japo kwa ubovu wa kiwango cha Azizi Ki naweza nikakubaliana na wewe kwa replacement yako ya kumuweka Morrison

Ila Moloko ile mechi ya jana ilikuwa ni muhimu sana sikujua kwanini hakucheza
 
Ndugu zangu waTanzania wapenda michezo. Japokuwa Utopolo wakishinda watakuwa na kelele na kejeli ila hawa waarabu wamekuwa wakitunyanyasa sana. Unafurahishwaje na mwarabu anayetupopoa kila mara bila kujali ni Simba au Uto? Tuwaombee Yanga vyura ushindi waje na kelele zao tutadeal nazo.
 
Kwa taarifa zilizopo CAF imewaruhusu mchezeshe wachezaji 22 na USM Alger 11 na bado hamtatoboa .
 
Yan uende na beki wa 3 kwa timu yenye uwezo wa kupiga counter attack na winger ambulance maake beki watu timu inakua na mashimo nyuma kama umiliki mpira mda mwingi
 
Ndugu zangu waTanzania wapenda michezo. Japokuwa Utopolo wakishinda watakuwa na kelele na kejeli ila hawa waarabu wamekuwa wakitunyanyasa sana. Unafurahishwaje na mwarabu anayetupopoa kila mara bila kujali ni Simba au Uto? Tuwaombee Yanga vyura ushindi waje na kelele zao tutadeal nazo.
Hatunaa huo uzalendooo, emu tuacheeee bhanaa wwe
 
Mtani asante kwa kushiriki sasa hivi hata akili zenu bado haziamini kama jana mmefungwa...hahahaa mbaya zaidi hata Nabi hamumtaki tena dooh! Kweli utopolo mashabiki akili zenu zipo kwenye njia ya kutolea kinyesi..
 
Hatunaa huo uzalendooo, emu tuacheeee bhanaa wwe
Sio uzalendo, hakuna uzalendo kwenye Club ila mwarabu amekuwa akituonea sana. Si timu ya taifa, si club mpaka inafika hatua unatamani umuone akisononeka na kulia anapokutana na yoyote.
 
Haina jinsi

Toto anapaswa kurud ili aongeze nguvu pale kati

Kwa alichokifanya jana mudathir ni vyema asianze
 
Mwarabu si mtu mzuri wamesababisha mpaka watu wamejipa ukocha uchwara
 
Kikosi cha kuiua USM kwao
Kikosi kiwe 3:5:2

1 Diara
2 Juma Shaban
3 Lomalisa
4 Mwamunyeto
5 Job
6 Baka
7 Zawadi mauya
8: Bangala
9 Mayele
10: Mudathir
11 Morrison

Yaani kuwe na mabeki watatu Baka,job na Mwamunyeto.

Viungo watano Juma Shaban, Lomalisa, Zawadi mauya, Mudathir na bangala

Mbele Wabaki Mayele na Morrison

Hawa wasikabe kazi yao ni kushambulia na wote wakae pembeni ya uwanja wakae bila mtu yeyote wa kuwamaki kazi yao kubwa iwe wakipata mpira wanafanya kukokota kuelekea kwenye box

Wakikaa pembeni watawalazimisha wale fullback wawili wa USM wasipande.

Pia itatoa nafasi kwa viungo 5 wa Yanga kuweka presha kwenye mpira tutengeneze mabao kutoka pembeni na inawezekana.

Maana tukiziba pembeni ambapo ukiangalia mabao yao yote mawili yalitokea hawana uwezo wa kupita katikati tutakuwa tumejaza viungo.

Tia nje Azziz ki na Musonda wataingia badae !!!

Tukienda hivi hii game tunashinda 3 kwa moja. Au 4 kwa 2 !!
Kwani Jana palikua na mabeki wangapi!?..hupo serious..mauya akafanye nini kwenye game unayohitaji kushinda!?..hapo yanga sharti waanze na wachezaji wenye mawazo ya kushambulia zaidi
 
Mtani asante kwa kushiriki sasa hivi hata akili zenu bado haziamini kama jana mmefungwa...hahahaa mbaya zaidi hata Nabi hamumtaki tena dooh! Kweli utopolo mashabiki akili zenu zipo kwenye njia ya kutolea kinyesi..
Asante kwa kushiriki watu wapo final!?..Asante kwa kushiriki ni kwa wale wanaoishia robo na kukoka moto uwanjani!!
 
Sio uzalendo, hakuna uzalendo kwenye Club ila mwarabu amekuwa akituonea sana. Si timu ya taifa, si club mpaka inafika hatua unatamani umuone akisononeka na kulia anapokutana na yoyote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkishabondwa kule Algeria ndo tutajadili hiloooo
 
Djuma Shabani is out of form hatakiwi kucheza kabisa

Kwa maoni yangu
mfumo uwe 3 4 1 2
Diara
Job mwamnyeto kibwana
Moloko sureboy mudathir lomalisa
Ki stephane
Mayele musonda

back line hairuhusiwi kupanda juu isipokuwa Kama mwamnyeto ataona imepatikana gap ya kupitisha killer pass ya kufunga

Mudathir kazi yake ni kucheza nusu ya upande wa yanga kusaidia Ulinzi au kusukuma Mpira kwa lomalisa na sureboy
Moloko , sureboy na lomalisa watasukuma shambulizi kutoka Kati Mpaka box ya waarabu

Na vilevile lomalisa na moloko watarudi kusaidia ulinzi waarabu wakishambulia sababu ni wepesi

Ki stephane atakuwa na free role Kama anavyofanya Messi na ikibidi kushuti mbali

Mayele na musinda watamalizia

Maloko akichoka aingie Morison
Mudathir akichoka aingie mauya

Yoyote aliye karibu na Nabi ampitishie hii plan Italeta matokeo chanya algeria
 
Back
Top Bottom