Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Na Bangala.Djuma Shabani is out of form hatakiwi kucheza kabisa
Mm sio chura ila waarabu nao wametunyanyasa sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkishabondwa kule Algeria ndo tutajadili hiloooo
Saved...N:B YANGA AKICHUKUA UBINGWA NIPIGWE BAN YA MAISHA JAMII FORUM.
Kuanzia 2-0, 3-1, 4-2....Hivi ni ushindi wa goli ngapi utaivusha yanga?
1 - 0 hatoboi? why?Kuanzia 2-0, 3-1, 4-2....
1-0 itafanya walingane idadi ya magoli (kila mmoja atakuwa na mawili), laini mwarabu atachukua ndoo kwa faida ya magoli mengi zaidi ya ugenini.1 - 0 hatoboi? why?
Wewe umesema vizuri. Mtoa mada utafikiri hakuwaona waarabu.Yan uende na beki wa 3 kwa timu yenye uwezo wa kupiga counter attack na winger ambulance maake beki watu timu inakua na mashimo nyuma kama umiliki mpira mda mwingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi sawaahMm sio chura ila waarabu nao wametunyanyasa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani bado hamuamini kama mmeshatoka? Kweli mna vichwa vigumu, niwaambie tu kitu, hata zile kona nyingi mlizopata hapo kwa Mkapa mkienda Algeria hamtapata kitu, kule litakuwa ni balaa zito kwenu..
Yani mwarabu aone kombe lile pale jukwaani, yupo nyumbani kwake, mbele ya mashabiki wake, halafu wewe unakuja na kikosi eti nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ingependeza uwaambie wenzio miandae leso za kutosha kufutia machozi
Kwanza kocha wenu anasema...View attachment 2640052
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amka weeUtopolo watapindua matokeo na kutwaa ubingwa wakijioanga vyema.