Kikosi cha kushinda Algeria kiwe 3:5:2

Kikosi cha kushinda Algeria kiwe 3:5:2

Yan uanze na mabeki watatu halafu kwenye kiungo umuweke tena Mauya tena game ambayo unatafuta ushindi uko serious kweli?

Toa Mauya kiungo wacheze Sureboy na Muda halafu Bangala anacheza defensive mid. Mfumo uwe 4-3-3

Diarra

Djuma, Mwamnyeto, Bacca, Lomalisa.

Bangala, Muda, Sureboy

Moloko, Mayele, Morrison

Shida moja ta Moloko hakabi ila baadae anaweza cheza Musonda.
 
Yani bado hamuamini kama mmeshatoka? Kweli mna vichwa vigumu, niwaambie tu kitu, hata zile kona nyingi mlizopata hapo kwa Mkapa mkienda Algeria hamtapata kitu, kule litakuwa ni balaa zito kwenu..

Yani mwarabu aone kombe lile pale jukwaani, yupo nyumbani kwake, mbele ya mashabiki wake, halafu wewe unakuja na kikosi eti nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ingependeza uwaambie wenzio miandae leso za kutosha kufutia machozi

Kwanza kocha wenu anasema...View attachment 2640052
 
JF.

NABI ndiye aliyekosea KUPANGA kikosi.
1. Alipaswa awe na Mfumo wa Back three.
3: 4: 2 :1

2.Kukosekana kwa Mchezaji KIONGOZI kama Aucho lilikuwa ni lengo sana. Azizi ki Alikuwa chini ya kiwango mno.

3. Kukosa uzoefu na MICHEZO Mikubwa. Kama, Raja, WHYDAD, MAMELOD, orando nk.
Wanaishia kucheza MICHEZO midogo na Akina MARUMO, zalan, monastrial nk.

4. Kujiandaa zaidi Nje ya uwanja.

5.kuidhihaki Simba HAIJAWAHI kucheza fainali 1993.
Mara kombe la Abiola.
Kukataa support ya mashabiki WA Simba.

MATUSI NDIO USISEME, ALLY KAMWE NA MANARA.

N:B YANGA AKICHUKUA UBINGWA NIPIGWE BAN YA MAISHA JAMII FORUM.
 
Utopolo watapindua matokeo na kutwaa ubingwa wakijioanga vyema.
 
Yan uende na beki wa 3 kwa timu yenye uwezo wa kupiga counter attack na winger ambulance maake beki watu timu inakua na mashimo nyuma kama umiliki mpira mda mwingi
Wewe umesema vizuri. Mtoa mada utafikiri hakuwaona waarabu.
 
Yani bado hamuamini kama mmeshatoka? Kweli mna vichwa vigumu, niwaambie tu kitu, hata zile kona nyingi mlizopata hapo kwa Mkapa mkienda Algeria hamtapata kitu, kule litakuwa ni balaa zito kwenu..

Yani mwarabu aone kombe lile pale jukwaani, yupo nyumbani kwake, mbele ya mashabiki wake, halafu wewe unakuja na kikosi eti nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ingependeza uwaambie wenzio miandae leso za kutosha kufutia machozi

Kwanza kocha wenu anasema...View attachment 2640052
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Morrison namkubali sana yule jamaa ni mpiganaji alafu ana mpira wa ladha yake..naunga mkono kwa morrison.kikosi kiko poa
 
Back
Top Bottom