4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
ww ndo unapenda kufurahia vitu vya kijinga yaan kashiba makande aende avamie hlfw unamuunga mkono ugaid huo , hujion kilaza ?Unapenda kufurahia vitu vya kijinga[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww ndo unapenda kufurahia vitu vya kijinga yaan kashiba makande aende avamie hlfw unamuunga mkono ugaid huo , hujion kilaza ?Unapenda kufurahia vitu vya kijinga[emoji848]
Nimempa ushauri!Mimi siwezi kuacha kusoma nyuzi za JF!Sasa mbona unapanic tena Mkuu,kama kakukera kwa nini usiwe unasoma kabisa Mada zake.Yanini kujipa stress za kujitakia?
Sina hasira,Sema unataka kunielewa tofauti na ninachomaanisha!Mbona huwa uko composed sana siku zote? Aliyekukwaza huko leo hajatutendea haki hadi umekuja kumalizia hasira kwa mtoa mada [emoji3][emoji3][emoji3]
Ujinga mzigo!sasa mbona haujatia dislike...takbir
Hao unaowatetea na kuwaabudu,mbona wako kimya kuhusu uvamizi wa Israel huko Palestina?ww ndo unapenda kufurahia vitu vya kijinga yaan kashiba makande aende avamie hlfw unamuunga mkono ugaid huo , hujion kilaza ?
Ningekuelewa kama angekuwa ametumia lugha ya maudhi.Wewe kilichokukera ni kwamba hii habari hujaipenda tu.Othewise usingekimbilia kusema ni vitu vya hovyo,vinaweza kuwa vya hovyo kwako lakini vikawa vya maana kwa wengine.Tuheshimu mawazo kinzani.Sina hasira,Sema unataka kunielewa tofauti na ninachomaanisha!
Sasa mtu aandike vitu vya hovyo hovyo tu,tusimwambie?
Hahaaaa msafara wa mavyuma chakavu ya Soviet Union enzi za Stallin , walipondwa pondwa na Javellins hawatasau , yaani li msafara la kilometer 70 waligeuzwa majivuTangu ule msafara wa Warusi ulivyopigwa na wabeba javelin, nimejikuta natamani hata uraia Ukraine...
![]()
![]()
Hii vita ikiisha Ukraine watakuwa na mtaji mkubwa sana wa vyuma chakavu toka Russia , watauza kwenye steel factories huko Ujerumani wajenge miundo mbinuTangu ule msafara wa Warusi ulivyopigwa na wabeba javelin, nimejikuta natamani hata uraia Ukraine...
![]()
![]()
Kanywe juice ya vipande vya chupaHapo moyo wako unakuwa mweupeee!!![emoji2][emoji2]Ujinga mzigo!
Yaani ilikua kama unapulizia RUNGU kwenye msafara wa siafu, wakaaaali ila pyuuuuuuuu wote chini meno nje[emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959]Tangu ule msafara wa Warusi ulivyopigwa na wabeba javelin, nimejikuta natamani hata uraia Ukraine...
![]()
![]()
Mrusi wa mchambawima ,uko unachamba wima ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hapo moyo wako unakuwa mweupeee!!![emoji2][emoji2]Ujinga mzigo!
[emoji2959][emoji2959][emoji2959]zake! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lazima warusi wamuuze putin kama kitimoto anajikaanga na mafuta yakeMrusi wa mchambawima ,uko unachamba wima ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Unajua alichoandika ni Nini mpaka nikamjibu hivyo?Hujafuatilia trend,hiyo comment nimeitoa kujibu comment yake aliyonijibu hovyo hovyo!Ningekuelewa kama angekuwa ametumia lugha ya maudhi.Wewe kilichokukera ni kwamba hii habari hujaipenda tu.Othewise usingekimbilia kusema ni vitu vya hovyo,vinaweza kuwa vya hovyo kwako lakini vikawa vya maana kwa wengine.Tuheshimu mawazo kinzani.
Basi shushia na soda!Kumbuka dislike..akbar
Kama ni Mwanaume pole,hivi vimisemo wanaume mnapata wapi muda wa kuvijua?Mambo mengine tuwaachie wanawake shekhe!Kanywe juice ya vipande vya chupa
Tuliza munkali mkuu..,jikite tu kumtetea super pawer Russia [emoji2957][emoji2957]Wanaume hatunaga muda wa kujua maneno ya kanga kama haya,no wonder uko upande wa [emoji304]!
Nimefuatilia tangu mwanzo na ulishagadhibika tangu mwanzo ndiyo maana nikakuuliza mbona siku zote huwa upo composed,nini mbaya kwa leo?.Na kwa jinsi unavyoendelea kujibizana na wengine ndiyo kabisa unadhihirisha kuwa leo siyo wewe unayehimiri mijadala siku zote kama kawaida yako.Nakumbuka huwa mtu hata akikujibu kwa lugha ya maudhi kweli bado huwa unamuignore na unaendelea na mjadala na wengine.Anyway ni kawaida siku zote hazilingani Mkuu.Unajua alichoandika ni Nini mpaka nikamjibu hivyo?Hujafuatilia trend,hiyo comment nimeitoa kujibu comment yake aliyonijibu hovyo hovyo!
Next kabla hujaingilia conversation ya watu,fuatilia mlolongo kwanza!
Comment yangu ya kwanza Kwa Uzi huu nimemwambia awe ana aibu basi kuleta habari ambazo hazina mantiki,nakazia "habari" na sio maoni!Alichonijibu ni kitu Cha hovyo japo sio matusi,nami nimemjibu lakini sijatukana!Nimefuatilia tangu mwanzo na ulishagadhibika tangu mwanzo ndiyo maana nikakuuliza mbona siku zote huwa upo composed,nini mbaya kwa leo?.Na kwa jinsi unavyoendelea kujibizana na wengine ndiyo kabisa unadhihirisha kuwa leo siyo wewe unayehimiri mijadala siku zote kama kawaida yako.Nakumbuka huwa mtu hata akikujibu kwa lugha ya maudhi kweli bado huwa unamuignore na unaendelea na mjadala na wengine.Anyway ni kawaida siku zote hazilingani Mkuu.