Kikosi cha kuzuia ghasia magerezani: moja ya vikosi hatari kabisa, FFU wanasubiri kwa hawa jamaa

Kikosi cha kuzuia ghasia magerezani: moja ya vikosi hatari kabisa, FFU wanasubiri kwa hawa jamaa

Weka picha.

ninachofahamu magereza ni watoto wadogo(hamna kitu) na ndiyo maana hata siku moja hatuwaoni wakishirikishwa kwenye mambo mazito ya nchi.
 
Gereza ni sehemu ya kuwahfadhi watu ambao wameshindwa kuendana na jamii na ho wapo wa aina nyingi mpaka wauaji ni wengine wenye matendo maovu kabisa.Uasi ndani ya gereza unaweza sababisha watu hawa kutoroka.Naamini ni lazima wazuiaji wa fujo za gerezani wawe watu imara na wenye ujuzi wa kutosha katika "kill or maim
 
Nyie CCM endeleeni tu kuyaalika majeshi kwenye siasa zenu watanogewa nao watake kuwa wapangaji kwenye hilo jumba jeupe.
 
Wasije acha milango wazi wafungwa hatari nao wakakiamsha huko magereza.
 
Back
Top Bottom