Gereza ni sehemu ya kuwahfadhi watu ambao wameshindwa kuendana na jamii na ho wapo wa aina nyingi mpaka wauaji ni wengine wenye matendo maovu kabisa.Uasi ndani ya gereza unaweza sababisha watu hawa kutoroka.Naamini ni lazima wazuiaji wa fujo za gerezani wawe watu imara na wenye ujuzi wa kutosha katika "kill or maim