Kikosi cha Rapid Force (UVCCM) kivunjwe

iLA wajue kuwa upinzani wakiunda chao wasilalamike!
Sidhani kama hawa vijana nyoronyoro wa ccm kama wanaweza hata kupambana na vijana wakakamavu wa kike upinzani!
Chadema waliwahi kuunda kwa ajili ya ulinzi wa viongozi na mikutano kikasambaratishwa kwa kisingizio cha "jukumu la polisi!".
 
Kwa kiasi kiasi kikubwa, UVCCM inafanya kazi kama genge la majambazi. Maovu mengi, pamoja na mauaji yamefanywa na genge hili ovu.
 
Usalama wa Taifa na vyombo vingine vya Ulinzi wakiendelea kuwachekea hawa Ccm na uvccm yao ipo siku sote tutavuna mabua.

Kula Sudan vikundi kama hivyo vimekua na kumea hadi vikawa jesho kubwa linalosumbua Taifa kwa sasa.

Kule Rwanda vikosi na vikukundi vya chama cha Rwadan Patriotoc Front viliota mapembe na kuwa Rwandan Patriotic Army na kusababisha maafa makubwa.

Sisi Raia wema tunaendelea kuishauri Deep State bila kuchoka.
 
Si kwamba wanawachekea ila mfumo wa CCM unawalazimisha kuwaheshimu. Chini ya mfumo wa jeshi hili CCM haiwezi kushindwa uchaguzi, kikosi hiki kitalazimisha ushindi.
 
ni ajabu sana, hicho kikosi kiko against who? kwa sababu hakuna shabiki wa chadema hata awe kichaa anaweza akavutiwa na mikutano ya ccm hata akapoteza muda wake kwenda kuwasikiliza.
 
ni ajabu sana, hicho kikosi kiko against who? kwa sababu hakuna shabiki wa chadema hata awe kichaa anaweza akavutiwa na mikutano ya ccm hata akapoteza muda wake kwenda kuwasikiliza.
Kikosi hiki kazi yake ni kuzuia mikutano wayotaka isifanyike kwenye eneo wanalodai ni lao!
Your browser is not able to display this video.
 
Watanzania tunskichukulia poa kikosi hiki cha askari wa Uvccm lakini hapo baadae tutakuja juta. Vikosi hivi huanzishwa na vijana ndani ya vyama vya siasa waliokosa ajira rasmi, vijana hawa huwa hawajo tayari kupoteza ajira yao ndani ya chama hivyo hujitahidi kukilinda chama chao kwa njia yoyote wakati wa uchaguzi, na baadhi ya matukio yalishuhudiwa kwenye chaguzi zilizipita, hatuna budi kumtaka msajili wa vyama vya siasa akifute kikosi hiki hatari kwa taifa.
 
Tumia picha tuwaone na sio kuleta uzushi.
 
Hili ndilo kundi la Wagner ndani ya Tanzania, wanapewa Kila kitu na Serikali , fedha , Magari ulinzi, silaha nk.

Siasa za Kirusi ndani ya CCM sii jambo jipya,

Miaka 6 ya Magufuli kundi hili la Wagner lilipata nguvu ya kipekee sana,

Kila wanapohisi upinzani unapata nguvu, CCM huwapa uhuru kundi lao hili kufanya watakalo ili kutuliza Hali ya kisiasa nchini

Bado hatujaona , tusubiri
 
Kwa hiyo ccm siyo chama cha siasa?
Usiniulize mimi muulize msajili wa vyama vya siasa, kwani vyama vya siasa vilipopigwa marufuku kufanya mikutano CCM haikuwa inaendekea kufanya mikutano?
 
Tatizo watanzania hatupendi kuchukua hatua mapema, jambo baya likitokea tunakimbilia kusema hatukufahamishwa!
 
Moja ya jambo ninaloshindwa kulielewa ni kitendo cha watetezi wa haki za binaadamu kushindwa kumlazimisha msajili akifute kikosi hiki kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…