Naunga mkono hojaMwenye mbio nani Rashid Juma?? Km ni huyo abaki ksb bado mdogo na kwa baadaye atakuja kuwa mzuri ksb hana uzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
We Yanga tu, kwa game ya jana Manula kaokoa goli nyingi sanaKwa Manula umekosea sana, huyu ni kipa mbovu sana na stars walimtumia afcon tutafungwa sana
Nadhani mtoa mada hajatoa lawama ni katika lengo la kuboresha tu kama ww ulivyosema points 1,2&3 nakubaliana na ww tusajiri wachezaji wenye kariba ya kushindana kimataifa hivyo tufocus kwenye timu kubwa Africa na siyo kuleta watu kujaribu nafasi simbaMnashangaza sana,
Simba inahitaji muda kidogo na uwekezaji makini kuanzia kwenye usajili na benchi la ufundi.
Mtoa mada, nafikiri mihemko na hasira zakufungwa akazihamishia kwa wachezaji directly.
Simba ina wachezaji wazuri, wasio na uzoefu na mashindano ya kimataifa
Kwa sasa tunahitaji top level players walau 6 kikosini kwa ajili ya kuleta ushindani mkubwa kikosini.
Determination ya wachezaji wetu Ni muhimu sana, lazima wafahamu wapo uwanjani kwa sababu zipi na wanafanya nini wawapo uwanjani, hii inahitaji muda kidogo.
Si vyema sana Ku expose mapungufu ya mchezaji mmojammoja na kuwabebesha lawama.
Simba inahitaji nguvu maeneo yafuatayo;
1. Ufungaji, tusajili top players mfano wa Meshaki Elia kijana wa Tp Mazembe,
Au wachezaji wenye kariba ya vilabu tulivyokuwa tukipambana navyo kipindi hiki hasa kuanzia makundi
2. Usajili uzingatie vigezo muhimu katika kuimarisha nafasi muhimu kama
Ulinzi, na kiungo kwa kuzingatia scouting ya maana iliyofanywa kipindi chote.
Huu si wakati wa kujaribu wachezaji
3. Simba imefanya vizuri sana, kuliko matarajio ya wengi, wala hawakuwahi kuwa na ndoto za kutwaa ubingwa wa afrika!
Lakini wamejaribu kupenya mpaka walipofika,
Tutafika, lakini umakini unahitajika sana!
Unaweza kuona Mbwana Samatta alikuwa akishindana na wachezaji wa aina gani pale Mazembe,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku mpira hukataa mkuu btw naunga mkono hoja kidogoJana Kotei na Zana wameigharimu sana Simba. Kotei ana mchango mkubwa sana kwenye goli la kusawazisha, badala acheze kona kwanza yeye anajidosha anatolewa nje tunafungwa halafu linaingia tena. Goli jingine atulizia adui mpira. Wageni wanaotakiwa kubaki ni wawili tu, Niyonzima na Kagere tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeongea point Sana,kwa mfano Mamelod yule tajiri wao aliinunua mwaka 2004 lakini ilikuja kuchukua ubingwa wa Afrika mwaka 2016,na huyu coach wao wapo nae tangu mwaka 2012,kinachotakiwa ni uvumilivu tu kwa mashabiki na uongozi pia,Mnashangaza sana,
Simba inahitaji muda kidogo na uwekezaji makini kuanzia kwenye usajili na benchi la ufundi.
Mtoa mada, nafikiri mihemko na hasira zakufungwa akazihamishia kwa wachezaji directly.
Simba ina wachezaji wazuri, wasio na uzoefu na mashindano ya kimataifa
Kwa sasa tunahitaji top level players walau 6 kikosini kwa ajili ya kuleta ushindani mkubwa kikosini.
Determination ya wachezaji wetu Ni muhimu sana, lazima wafahamu wapo uwanjani kwa sababu zipi na wanafanya nini wawapo uwanjani, hii inahitaji muda kidogo.
Si vyema sana Ku expose mapungufu ya mchezaji mmojammoja na kuwabebesha lawama.
Simba inahitaji nguvu maeneo yafuatayo;
1. Ufungaji, tusajili top players mfano wa Meshaki Elia kijana wa Tp Mazembe,
Au wachezaji wenye kariba ya vilabu tulivyokuwa tukipambana navyo kipindi hiki hasa kuanzia makundi
2. Usajili uzingatie vigezo muhimu katika kuimarisha nafasi muhimu kama
Ulinzi, na kiungo kwa kuzingatia scouting ya maana iliyofanywa kipindi chote.
Huu si wakati wa kujaribu wachezaji
3. Simba imefanya vizuri sana, kuliko matarajio ya wengi, wala hawakuwahi kuwa na ndoto za kutwaa ubingwa wa afrika!
Lakini wamejaribu kupenya mpaka walipofika,
Tutafika, lakini umakini unahitajika sana!
Unaweza kuona Mbwana Samatta alikuwa akishindana na wachezaji wa aina gani pale Mazembe,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezaji wa maana anaanzia Sh 1.5T na ndiyo hela mliyopata .mshahara $20k.. kanji wenu hawezi. Mtanunua average players kama KagereHela si tumepata kutoka CAF..baada ya kufuzu makundi na robo fainali.. Alafu pia Simba ni kampuni.
Naunga mkono hoja, halafu nini kinamshinda Kotei kuwa accurate kwenye passingJana Kotei na Zana wameigharimu sana Simba. Kotei ana mchango mkubwa sana kwenye goli la kusawazisha, badala acheze kona kwanza yeye anajidosha anatolewa nje tunafungwa halafu linaingia tena. Goli jingine atulizia adui mpira. Wageni wanaotakiwa kubaki ni wawili tu, Niyonzima na Kagere tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kocha wetu falsafa yake inaifanya Simba isiwe timu inayofanya marking vizuri. Kuna mambo watu wanatakiwa kujifunza mazoezini. Halafu timu haichezi kwa uharaka na kujitoa, tunahitaji kocha mwingereza kukaba na kushambuliaNadhani mtoa mada hajatoa lawama ni katika lengo la kuboresha tu kama ww ulivyosema points 1,2&3 nakubaliana na ww tusajiri wachezaji wenye kariba ya kushindana kimataifa hivyo tufocus kwenye timu kubwa Africa na siyo kuleta watu kujaribu nafasi simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue tunapowataja hao hatufanyi reference ya ligi ya bara sijui kucheza na akina Yanga na Lipuli, no, tunafanya reference na TP Mazembe, AS Vita, Esperance, Al Ahly na wa level hizoKuna Mwamba wa Lusaka,Kagere,Okwi,Bocco,Niyonzima mliwapa misifa mingiiii leo hii mnataka kikosi kifumuliwe na kile kipana vp
Lakini kuna makocha wanasema kiungo sio mtu wa kukaa na mpira, sasa sijui nikuamini wewe au makochaKwa mfano kotei na mkude ni viungo lakini hawana uwezo wa kukaa na mpira na kupandisha timu.. Kotei akikaba na kumiliki kinachofuata ni kuanua mbele..pia mkude.
Bocco uwezo wake mdogo mno,, uwezo wa kumiliki mpira hana, kuanzisha mashambulizi hawezi piaa,, huyu beki zana hamna kitu,,Kuna mambo nakubaliana na wewe ila kwa wachezaji umeweka wachache mno. Kwa maoni yangu Niyonzima hapaswi kuwa kikosi cha kwanza badala yake aanze Chama, pia Beki 3 yuko vizuri anahtaji marekebisho tu. Bocco bado ni mchezaji muhimu na anastahili kuwemo. Mchezaji MAALUM ninayetaka kumsema Leo ni huyu anayekula mpunga mrefu kwa kazi nyepesi anayofanya, Coulibaly!! Huyu hata mechi za ndani achezeshwe na Alliance, Lipuli, African Lyon na WanaKino.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaokoa😁😁
kotei ni mzuri kwenye kukaba..tatizo ninaloliona kwake ni kwenye kumiliki na kukimbia na Mpira kwa kasi kupeleka mbele ....Mara nyingiNina mitizamo tofauti kidogo. Shida kubwa ya Simba ni kiungo mkabaji hususani Kotei asipokuwepo au asipopangwa kucheza nafasi ya ukabaji,mfano mzuri ni mechi ya jana.
Kiukabaji,uwezo wa Mkude ni mdogo mno labda tuwe tunacheza na Lipuli.
Mm naungana na ww.. Pia hana kasi.Bocco uwezo wake mdogo mno,, uwezo wa kumiliki mpira hana, kuanzisha mashambulizi hawezi piaa,, huyu beki zana hamna kitu,,
Kiungo Ndio mchezesha timu..sasa kama atakuwa anapoteza mpira kwa kuipiga hovyo..timu lazima ikatike na washambuliaji watakosa mipira.Lakini kuna makocha wanasema kiungo sio mtu wa kukaa na mpira, sasa sijui nikuamini wewe au makocha