PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Klabu ya Simba SC imeweka wazi kikosi chake kitakachosafiri leo Oktoba 16, 2025 kuelekea nchini Eswatini kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nsingizini Hotspurs, utakaochezwa Oktoba 19, 2025.
Katika orodha hiyo, jina la goilikipa Moussa Camara, Alassane Kanté, Mohammed Bajaber hayajaonekani. Hata hivyo, timu hiyo ya Wekundu wa Msimbazi bado imesheheni nyota wengine muhimu wakiwemo Jonathan Sowah, Steven Mukwala, na Seleman ‘Gomez’ Mwalimu.