KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA JS SAOURA

Mnyama anaweza pata angalau droo, ila naomba sana Salamba asipate nafasi awe ameenda kutalii tu
 
Mechi ya vita unaweza kuisha draw hapa..simba akikaza anaweza kuingia semi
 
Vita wamecharuka baada ya kupata moja...hii mechi ingeisha draw ingekuwa safi sn
 
Hili group kila mtu anashinda kwake simba na ahly ndio wana advantage maana wanamalizia home wakishinda wanaenda
 
Hili kund lisha kua gum sana bt wachezaji wa simba msicheze kizembe bn wajitume sana kwanguvu zote naakil zao
 
Kutokuwepo kwa okwi kunanipa mashaka sana, kwasababu okwi Mara zote waarabu anawawezea sana hawaogopi hawashangai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…