cha1509
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 258
- 402
Kwanini chief? Salamba mbona mchezaji mzuri tu!Mnyama anaweza pata angalau droo, ila naomba sana Salamba asipate nafasi awe ameenda kutalii tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini chief? Salamba mbona mchezaji mzuri tu!Mnyama anaweza pata angalau droo, ila naomba sana Salamba asipate nafasi awe ameenda kutalii tu
Okwi yuwapi leo??Sina waswas na mnyama, mwarabu tunajua uwezo wake, goli mbil zitamtosha mwarabu, natabiri simba 2 vs js saoura 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo basi tena
Maskini MTANI duh inauma unganeni tu na Serengeti boys mje nao maana huu ni msiba mwingine kwa taifa poleni sana.VIP MNYAMA ATACHOMOKA NA FIRST ELEVEN HII?!View attachment 1041796
Sent using Jamii Forums mobile app
Kundi la whatsapp
Sawa sawa mnajimuSina waswas na mnyama, mwarabu tunajua uwezo wake, goli mbil zitamtosha mwarabu, natabiri simba 2 vs js saoura 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyo dogo Salamba ana matatizo gani ?Mnyama anaweza pata angalau droo, ila naomba sana Salamba asipate nafasi awe ameenda kutalii tu
Dogo si wa daraja la simbaHivi huyo dogo Salamba ana matatizo gani ?
Kijana bado mdogo, ana umbo zuri na afya njema kwanini anashinda hata kumiliki mpira kwa dakika mbili ?
Toka nianze kumtizama sijawahi kumwona akimpiga chenga beki au mchezaji pinzani.
Akiwa uwanjani anatembea tu kukaba hawezi, anasubiri wamtangulizie yeye akimbie na kupiga mpira basi.
Au minong'ono ninayosikia ni ya ukweli ?
Yaani Yanga wamemroga baada kuwakatalia kumsajiri kwa mkopo ?
Hakika Salamba ananiaikitisha sana sana
Sent using Jamii Forums mobile app