Kikosi cha Taifa Stars CHAN na AFCON chatajwa

Jamani mimi ni shabiki wa mpira, vitu technical sijui....naomba kuuliza..Rashidi Juma na Paul Godfrey watakua na tatizo gani technically mpala bench la ufundi la Taifa stars haliwaoni?
Hata mm sielew mkuu nahisi hawana ndugu na Wallace karia
 
Kocha anavutiwa na soka la Wana paluhengo ila pia ukiondoa Simba,yanga na Azam wao ndio wanafuata kwa karibu na ni wapiganaji na msimu huu watachukua FA
Hata TFF Hawataki ujinga wa Mtibwa wa msimu. .
 
Kocha bora wa Taifa Stars ndani ya miaka 39... kachagua wachezaji bora wa kipindi choote cha miaka hiyo. Kachagua kikosi kitachoingia robo fainali Afcon.
Baadaye kupelekwa mjengoni Dodoma baada ya mafanikio tarajiwa.
Zile pesa walipewa.
 
Hahahaaa goli 4 za kufikia tu tena mechi ya kwanza Himid mao, Yahya zaid, Shaban chilunda, Abdi banda, Shiza kichuya, Thomas ulimwengu, na Farid musa ni WAKAA BENCHI WAKUBWA SASA SIJUI WANAKUJA KUFANYA NINI.
Acha ukenge wewe.. abdi banda ni mchezaji wa kutegemewa pale baroka fc
 
Hao jamaa wanaotukana wananikera Sana tumeshalalamika bado wanaachiwa
 
Hao jamaa wanaotukana wananikera Sana tumeshalalamika bado wanaachiwa
Kwa kweli inakera sana mkuu na hasa mambo ya kutukaniana wazazi,tunaweza kubishana kwa hoja na hata kutaniana lakini si kukoseana adabu...haipendezi.
 
Acha ukenge wewe.. abdi banda ni mchezaji wa kutegemewa pale baroka fc
Hivi nikikujibu kwa dharau na shombo nilizonazo utajisikiaje mkubwa?
Abdi banda hajaanza mechi takribani sita hata mechi iliyopita hakuanza! Ni Reserve mzuri sana, apo awali kipindi ligi inaanza wakiwa kileleni mwa ligi ya PLS alikuwa anaanza sana baada ya vipigo kuanza kuwakumba anasikia tu first 11. Na usishangae wakashuka daraja wakileta uzembe
 
Nimefurah kuona wachezaj watatu kutoka chama la nyumban lipuli fc vanapaluhengo "KAMWENE INTERNATIONAL"
Hapo wakichanganya na nyama za kile kitoweo pendwa cha mkoa ule wataua mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…